CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Crown ya chalamila imeshaingia doa na kitumbua hakiliki ila viongozi wetu hawa si alijua kabisa moroko hawawezekaniki wanataja tuzo kubwa 🤣🤣
Lile nilisema gundu mapema team imeingia uwanjani imechoka Kila saa wanasiasa walienda kuisalimia
 
Crown ya chalamila imeshaingia doa na kitumbua hakiliki ila viongozi wetu hawa si alijua kabisa moroko hawawezekaniki wanataja tuzo kubwa 🤣🤣
Pale aliposema watawakabidhi kinyonge wakifungwa nadhani watacheleweshewa kupewa
 

Sisi tunaojua mpira tunatambua tatizo ni kocha na siolevel ya uchezaji wala wachezaji na tulitoa matokea mapema sana.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958847259912605810

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958849631699234926
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…