Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
Mi sikuwepo bhanaaHuwa inakuwa hivyo, Tanzania hufanya vizuri pale inapokataliwa!!
Nyota ya mama itatubeba ila uwezo wa kushinda hatuna 😂😂Tumekoswakoswa hapa mhhhh
Hii game ndo ingekuwa inapigwa Uganda huko au hata Kenya. Tungekuwa na hali ngumu.Naona Kichwa cha mwenda wazimu kinajitutumua😂😂
Mwamba kabisaa
Juha la ChademaHawa jamaa sio level yetu.
Mkuu Aleyn sio bure utakuwa Mkenya wewe😃Morocco embu tupeni raha Watanzania.