Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
FL, miye ya huko mbeleni wala hayanitatizo.. nashangilia now.. for only now is what we have..Mimi sioni cha kuchangilia tungekuwa na pointi sita hapo sawa!Bado kabisa hatujawa na matumaini ya kusonga mbele!
Sasa na wewe mkuu issue ni breaking news au hii thread kuwa hapa?
Halafu inashangaza mtu unapinga kitu at the same time unafanya kitu hicho hicho.Unapinga thread kuwa hapa at the same time unasema "kwa habari zaidi ya yaliyojiri Gonga hapa " halafu unarudi kulekule.Duh,kubisha kwingine noma,unoko!
wana JF, kama kumbu kumbu zangu zipo saya. Nadhani huu utakua ndiyo first major Win in continental tournaments... Mwaka 80 kule Nigeria tuliambulia sare na vipigo tu. its history.........
Ingekuwa haya ni mashindano ya AFCON, ningekubaliana na wewe, ila hii CHAN ni michezo michezo ya kombe la "mbuzi au mchele", wachezaji wa kimataifa hamna humu hawa ni local players tu kwenye nchi zao
Haya bwana MMK endelea kushangilia!mimi siku tukimfunga Zambia ndo nitashangilia kwa kweli!FL, miye ya huko mbeleni wala hayanitatizo.. nashangilia now.. for only now is what we have..
ukikaa sana majuu akili zenu zinakuwa kama bata......
.....kwani ivory coast walikuwa 7 uwanjani?
......wewe ianekana huu mshabiki hujui soka na kama sikosei umeanza kujua soka enzi hizi za DSTV na timu yako itakuwa ama liverpool ama chelsea.....
Hata wanazi wa liver leo tumekamua jamani, hata walipokuwepo kina etoo, tulionyesha tunaweza kwa hiyo Kana-ka-nsungu kubali tu tunajitahidi, kuwa mzalendo kidogo kaka
Kijana hujui soka weye.....unaonekana ni limbukeni wa soka la majuu......ndio maana nikakuambia umeanza kuangalia soka juzi juzi DSTV ilipoingia........nachukia mijitu ya namna hii yaani yenyewe soka eti lipo ulaya tu na vitumi vyao uchwara ass nal atal....Utakuwa ni uvivu wa kufikiri kama huoni kwamba hapa ni kama Tanzania (na nchi nyingine zote zisizokuwa na wachezaji wenye majina ulaya) inapigana na mpinzani ambaye amefungwa mkono mmoja huku yenyewe ikitumia viungo vyote, jiulize itakuwaje jamaa akifunguliwa mkono wa pili? Usiangalie mambo juu juu. Sawa ni ushindi lakini tufahamu ya kwamba labda tulikuwa tunacheza na timu C kama sio D ya Ivory Coast, na tulifungwa na timu C ya Senegal- na kuna watu kama nyie wanaodai wanaujua mpira na wanaona hiki ni kitu cha kukeshea bar! Kuna improvement but am not over the moon. Ikifika time ya World Cup au African nations qualifiers hao wasenegal na Ivorians watawaleta wataalamu wao walioko huko Chelsea, Madrid na Milan kama kawaida tu.
Kana ka Mzungu na KASUMBA. Wachezaji waliokosa fursa hii sio wale wa ulaya pekee hata kama unacheza soka la kulipwa hapo Msumbiji na ni ligi ya daraja la tatu, huna nafasi katika mashindano haya. Kwa hiyo mkuu huu ni ushindi tuu, acha watu waufurahie!Mimi binafsi siyafagilii kabisa haya mashindano, sioni maana yake ni nini, nahisi hii idea ilitolewa na nchi ambazo hazina wachezaji wanaocheza Ulaya ili tu nao wapate sababu ya kukenua. Ushindi wowote utakaopatikana- tujue kwamba itakapokuja time ya mashindano 'serious' bado tutaendelea kuburuzwa kwa kuwa wenzetu hawatumii 'vifaru' vyao hapa. Mimi nataka tukicheza na Ivory Coast iwe ni first eleven yao regardless wachezaji wao wanacheza ulaya au uchina, kama ni Cameroon iwe hivyo hivyo- Eto' awepo,ikiwa hivi ndo tutapata true reflection ya kiwango chetu cha soka. Tuelewe kwamba hapa timu yetu inayoshiriki ni 'the best 11 tanzanian footballers' ndo wanashuka dimbani wakati wenzetu wanatutoa kamasi na wachezaji ambao hata hawajulikani and we are still struggling- lakini kama kawaida yetu- tunashangilia!!!
......ungekuwa unajua soka ungeangalia viwango kijana......mcheza kama Ngassa ana kiwango cha juu sana huwezi kumlinganisha na bito drogba......
Kana ka Mzungu na KASUMBA. Wachezaji waliokosa fursa hii sio wale wa ulaya pekee hata kama unacheza soka la kulipwa hapo Msumbiji na ni ligi ya daraja la tatu, huna nafasi katika mashindano haya. Kwa hiyo mkuu huu ni ushindi tuu, acha watu waufurahie!
sare ya zambia na senegal ni ahueni, now we stan almost equal chances....... twahitaji ushindi dhidi ya zambia