mama uchokozi huo?
Inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...mpira umeisha 1-0
kweli kabisa maximo next time aangalie hili....Weeeeeeee tuna hasira Stars imefungwa, Ingekuwa Yanga walau suluhu tungepata
Kweli Yanga wametulostisha
kweli kabisa maximo next time aangalie hili....
....kusema ukweli wamejitahidi japo kagoli kamoja kanauma(hata kule.....) na kukera saana.....ukiachilia mbali sababu za kisaikolojia ambazo nafikiri wanasoka wetu wanapaswa kujengwa....hamna la ziada viungo walilelemewa mafowadi walishindwa kukaa na mipira...beki safi.......
mkuu acha uzalendo kamkanyaga kabisa.....
.....senego wameroga....
MUNGU IBARIKI AFRICA!Haijalishi nani atachukua kombe!Hongereni sana senegal na zambia!
hahahaha jamani hata SEN na ZAM si mataifa?FL inaonyesha wewe huna maslahi na taifa...unapongeza SEN na ZAM?
hahahaha jamani hata SEN na ZAM si mataifa?