CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Weeeeeeee tuna hasira Stars imefungwa, Ingekuwa Yanga walau suluhu tungepata
kweli kabisa maximo next time aangalie hili....

....kusema ukweli wamejitahidi japo kagoli kamoja kanauma(hata kule.....) na kukera saana.....ukiachilia mbali sababu za kisaikolojia ambazo nafikiri wanasoka wetu wanapaswa kujengwa....hamna la ziada viungo walilelemewa mafowadi walishindwa kukaa na mipira...beki safi.......
 
Next ni mwenyeji Cote d'Ivoire.. hapo hamna kitu. Maximo out
 
Postmortem:
Timu nzuri. Udhaifu umeonekana kwenye kiungo. Forward line inahitaji kujiamini, kuwa na determination na uchu wa kufunga. Beki walau kwa leo imecheza vizuri. Kipa ameonyesha kujiamini na kutawala vema lango lake. Bao moja tulilofungwa ndio mchezo. Tuwape moyo vijana.
 
kweli kabisa maximo next time aangalie hili....

....kusema ukweli wamejitahidi japo kagoli kamoja kanauma(hata kule.....) na kukera saana.....ukiachilia mbali sababu za kisaikolojia ambazo nafikiri wanasoka wetu wanapaswa kujengwa....hamna la ziada viungo walilelemewa mafowadi walishindwa kukaa na mipira...beki safi.......


Ina maana Nsajigwa na Canavarro?
 
mkuu acha uzalendo kamkanyaga kabisa.....

.....senego wameroga....

Lawama zote ni PM kwa kufuta vibali vya waganga wetu wa jadi. Yaani hii mechi jamaa wametuotea tu ila Stars wamecheza hasa dk 15 za mwisho wamecheza mpira wa kufundishwa hasa
 
Nasikitika kusema kwamba mpira umeisha na tumefungwa 1-0. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Starz. Tusivunjike moyo huo ndio unaitwa mpira. Maana hata mwenyeji Ivory Cost kapigwa 3-0 na Zambia.
 
MUNGU IBARIKI AFRICA!Haijalishi nani atachukua kombe!Hongereni sana senegal na zambia!
 
Ni walewale wa Senegal tena? goal margin leo inatia moyo, ingawa kufungwa ni kufungwa tu. Mliotazama mechi tupeni taarifa za kiufundi.
so far huu hapa chini ndio msimamo baada ya mechi za kwanza.

1/8th final round
GROUP A
02-28-2009 Cote d'Ivoire 16:00 Senegal
02-28-2009 Zambia 16:00 Tanzania
02-25-2009 Tanzania 19:00 Cote d'Ivoire
02-25-2009 Zambia 16:00 Senegal
02-22-2009 Senegal 1 - 0 Tanzania
02-22-2009 Cote d'Ivoire 0 - 3 Zambia
Group A
Team MP W D L GF GA GD Pts
Zambia 1 1 0 0 3 0 3 3
Senegal 1 1 0 0 1 0 1 3
Tanzania 1 0 0 1 0 1 -1 0
Cote d'v 1 0 0 1 0 3 -3 0

GROUP B
03-01-2009 Ghana 16:00 RD Congo
03-01-2009 Zimbabwe 16:00 Libya
02-26-2009 Libya 18:00 Ghana
02-26-2009 Zimbabwe 15:00 RD Congo
02-23-2009 RD Congo 18:00 Libya
02-23-2009 Ghana 15:00 Zimbabwe
 
Kiwango chako cha uzalendo kinatia shaka hata kama na yenyewe ni mataifa, wewe huwa unajitambulisha kwa utaifa upi?
 
Back
Top Bottom