Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Mkuu sijaona option ya kuattach cheti cha form 4 au ikishafetch matokeo ni jua kwa juu cheti wanakiona?Hapo kwenye kuadd education inagoma ila matokeo ishafetch vzr tu ya 4m4 na 6 sa kuadd upande wa bachelor inasumbua
Kwa level ya form vitu vya kuattach ni barua ya maombi na ya utambulisho pekeeMkuu sijaona option ya kuattach cheti cha form 4 au ikishafetch matokeo ni jua kwa juu cheti wanakiona?
inaludi kwenye fire rescue force recruitmentBonyeza kwenye alama ya picha yako juu kulia utaona my dashboard, bonyeza hapo kisha utaona profile yako upande wa kushoto baada ya kufunguka
Kwann sa ku attach hapo bachelor inasumbua jamanKwa level ya form vitu vya kuattach ni barua ya maombi na ya utambulisho pekee
nina tatizo ilo ilo unatumia sim au compyuta mkuuKwann sa ku attach hapo bachelor inasumbua jaman
Haitaki kabisa
Hiyo utaenda nayo hardcopy ukiitwa kwenye interview, niliongea na mtu wa fire makao makuu ndo akanipa hiyo taarifaMbona sioni sehemu ya kuattach fomu kutoka mganga mkuu
Simu hata computer pia nimejaribunina tatizo ilo ilo unatumia sim au compyuta mkuu
Hiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7 MARCHMkuu sijaona option ya kuattach cheti cha form 4 au ikishafetch matokeo ni jua kwa juu cheti wanakiona?
Mimi nimeombea form 4 mkuu,Kwann sa ku attach hapo bachelor inasumbua jaman
Haitaki kabisa
Hiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7
Hapo ni kile Academic Qualifications upande taarifa za chuo hasa Diploma na Certificate ndio inasumbua ukichagua diploma/certificate haikuletee zile culums za kujaza Institutuon, Program,registration number etc. Hili bado programmer wao atakuwa analifanyia kazi.mimi inaniandikia hivi nikiwe vyeti vya chuo Missing Fields: Please fill in all required fields before proceeding!
Asante brother yani mbaka nimeombea form 4 sijui kama watarekebisha ili nibadilishe kuomba kwa kupitia diploma levelHapo ni kile Academic Qualifications upande taarifa za chuo hasa Diploma na Certificate ndio inasumbua ukichagua diploma/certificate haikuletee zile culums za kujaza Institutuon, Program,registration number etc. Hili bado programmer wao atakuwa analifanyia kazi.
Sasa mkuu hivyo vyeti vingine ni lazima kuviweka au nikiamua ndo niviunganishe na application letter? Maana kwenye mfumo wameweka option ya application letter na barua ya utamblisho tuHiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7 MARCH
Kwenye tangazo lao la ajira kwa waombaji wa form four vyeti na nyaraka walizotaja ni:Sasa mkuu hivyo vyeti vingine ni lazima kuviweka au nikiamua ndo niviunganishe na application letter? Maana kwenye mfumo wameweka option ya application letter na barua ya utamblisho tu
Kwa kuwa wameongeza muda hadi tarehe 7 machi ni vema ukavuta subira system ikae sawa uombe kwa fani yako sababu form four kawaida wanakuwa wengi mno ni vigumu kuvuka.Asante brother yani mbaka nimeombea form 4 sijui kama watarekebisha ili nibadilishe kuomba kwa kupitia diploma level