Diploma kwa sasa hu upload vyeti bali unaingiza registration number tu kisha una fetch details zikija una confirm. Kwasasa wanaokwama ni wale wa fani za veta bado system hai display details zako wakiweka reg no.Mambo bado yanagoma kwenye kuupload information za degree na watu wa diploma
Vp kuna aliefanikiwa??
Diploma ata level zingine zinagoma kwamfano watu wa afya ukiweka reg no mfumo haufanyo kazi ya kuleta taarifa za mtu na inaishia kwenye kuleta hii error (Missing Fields: Please fill in all required fields before proceeding!)Diploma kwa sasa hu upload vyeti bali unaingiza registration number tu kisha una fetch details zikija una confirm. Kwasasa wanaokwama ni wale wa fani za veta bado system hai display details zako wakiweka reg no.
kama ni diploma wa afya pale kwenye education level chagua CERTIFICATE. Hata kwenye kuapply kama education level uliweka Diploma haitakuletea kuapply ile emergency medical assistant au nursing, inahitaji uwe ulichagua certificate hata kama una diplomaDiploma ata level zingine zinagoma kwamfano watu wa afya ukiweka reg no mfumo haufanyo kazi ya kuleta taarifa za mtu na inaishia kwenye kuleta hii error (Missing Fields: Please fill in all required fields before proceeding!)
Kama mwanzo uli apply kupitia level ya form 4 naunataka kubadilisha unafanyajekama ni diploma wa afya pale kwenye education level chagua CERTIFICATE. Hata kwenye kuapply kama education level uliweka Diploma haitakuletea kuapply ile emergency medical assistant au nursing, inahitaji uwe ulichagua certificate hata kama una diploma
Ebana umenisanua asee bigUp sana kiongoziikama ni diploma wa afya pale kwenye education level chagua CERTIFICATE. Hata kwenye kuapply kama education level uliweka Diploma haitakuletea kuapply ile emergency medical assistant au nursing, inahitaji uwe ulichagua certificate hata kama una diploma
Hiyo barua ya maombi ya kazi unaweka kwenye job application na medical form utaenda nayo siku ukichakuliwa kwenye usahiliWakuu kwenye Other Qualifications nikiweka Details upande wa kusubmit ngoma inakataa
Pia Barua ya Ajira na Medicala Form zinawekwa wpai!?
NA ILE ya utambylisho je Mkuu wangu!?Hiyo barua ya maombi ya kazi unaweka kwenye job application na medical form utaenda nayo siku ukichakuliwa kwenye usahili
wakuu nikiclick kwenye profile wananidirect nijaze NIN , nikijaza hzo namba wananiambia records not available. Nifanyeje wakuu? Natanguliza shukranNA ILE ya utambylisho je Mkuu wangu!?
MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Foundwakuu nikiclick kwenye profile wananidirect nijaze NIN , nikijaza hzo namba wananiambia records not available. Nifanyeje wakuu? Natanguliza shukran
Dah nipo nakomaa tokea asbh ngoma ni ngumu dadeqHiki kipengele ngoma inaload tu hadi nimechoka
MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Found
Huku mbona ni mwanzoni kabisa maana ukisha kamilisha hapo huko mbele amna maswala ya NIDA tenaHiki kipengele ngoma inaload tu hadi nimechoka
MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Found
KAKA UKITAKA kuapply kazi unafanyaje naomba unielekeze Pleasee maana nimejaza vipengele vyote hatua ya mwisho inasema apply this Job kuna kipengele kinaomba Usubmit NIDAHuku mbona ni mwanzoni kabisa maana ukisha kamilisha hapo huko mbele amna maswala ya NIDA tena
kaka ukifanikiwa husisite kuleta hints hapa mkuu.KAKA UKITAKA kuapply kazi unafanyaje naomba unielekeze Pleasee maana nimejaza vipengele vyote hatua ya mwisho inasema apply this Job kuna kipengele kinaomba Usubmit NIDA
NakuDM
Umekomea wapi Kwanza kakakaka ukifanikiwa husisite kuleta hints hapa mkuu.
kwenye kuweka namba ya nida wananambia record not foundUmekomea wapi Kwanza kaka
Ndio ninachokumbana nacho mie binafsi nimekata tamaakwenye kuweka namba ya nida wananambia record not found
Unaenda kwenye sehem ya applied jobs utakuta ulichoomba kama ulifanikiwa kuombaukimaliza kuomba nafasi za ajira ya zimamoto inakuwaje ujuwe kam maombi yako yamefika