Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

Akikupeleka maduka ya buza wewe nenda ya Mbagala😂
 
Kusimamisha boma wala sio gharama sana kama kupaua na finishing zingine hasa ndani noma sana

Unatakiwa uwe na fundi mmoja mwaminifu sana
Mimi nilimtumia bro mmoja fundi wa siku nyingi sana umri umeenda now yeye anachukua kazi then anasupervise vijana wanapiga kazi , hakika sikujutia kabisa
 
Kupaua patamu sana maana uwe na mbaonna bati kwa wakati mmoja.
Finishing uzuri unaweza enda chumba kwa chumba
 
Hiyo no 2 hapo ufate hatua zipi kujua ramani ya mipango miji na unaipatia wapi?
 
Sio tu ujenzi hata MADAKTARI uchwara wanaua sana watu.....

Kumradhi ndugu yangu kwa kutoka kidogo nje ya mada.....nimevurugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…