Changamoto kubwa ya mtoto kutokukaa kwa wakati

Mdudubitehunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
369
Reaction score
628
Wasalaam wataalam,
Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka.

Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp?

NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa, alikunywa maji machafu tumboni na alivyotolewa alikaa mwezi mmoja hospital na mpira wa kupumua na wa maziwa mdomoni.

Naombeni sana ushauri wenu wa kitaalamu nifanye nn au ni kawaida🙏.
 
Kwa kuwa umeeleza vizuri na athari aliyopata wakati anazaliwa tayari Una uelewa wa ninikilitokea wakati anazaliwa, hiyo ni hatua ya kwanza ya kupongezwa.

Wapo watoto wanazaliwa vizuri kabisa na hawakuwa na shida na bado wanachelewa kukaa.

Kwa kuwa umesema angalau anaweza kukaa hata dakika mbili then akashindwa tayari ni hatua nzuri ukizingatia Hali aliyopitia.

Ushauri:
Hakikisha usiwe na washauri wengi kuhusu afya ya Mwanao maelezo ya watu wengi yatakuchanganya na kukuzidisha mawazo.

Cha kufanya:

Mfanyishe mazoezi kadiri uwezavyo, cheza na Mwanao muda wa kutosha, Acha kabisa habari za kumwacha Mtoto na Dada wa Kazi unless kwa muda mfupi tena ukiwa imebidi tu.

Spend your time with your child, play like her/him encourage the baby, pull her gently, play, add more activities na hii iwe regular.

I am telling you it will take just 1 or two months ataanza kukaa vizuri. Baada ya hapo utaanza kumfanyisha mazoezi ya kutambaa.

Jambo la ziada ya kuzingatia ni Mlo, lishe, iiwezekana pata kujua Hali ya Mwanao kiafya mfano kiwango cha Madini kwenye Damu na wingi wa Damu ikiwemo na iron levels

Na Mungu akubariki
 
Changamoto kubwa ya mtoto kutokukaa kwa wakati husababishwa na kuchelewa kwa hatua za makuzi (delayed milestones), ambapo misuli, mifupa, au mfumo wa neva unakuwa haujakomaa vizuri.

Mtoto wa kawaida huanza kukaa akiwa na umri wa miezi 6 hadi 8 akiwa anajishikiza, na miezi 8 hadi 9 bila kushikiliwa. Ikiwa mtoto amefikisha miezi 9 hadi 10 na bado hawezi kukaa, hiyo ni ishara ya changamoto inayohitaji uchunguzi wa daktari.
 
Mkuu Asante sana Milo Kama ipi unanishauri, tafadhali🙏
 
Vizuri ukaenda moja kwa moja kwa daktari wa watoto
Asante mkuu
 
Changamoto kubwa ya mtoto kutokukaa kwa wakati husababishwa na kuchelewa kwa hatua za makuzi (delayed milestones), ambapo misuli, mifupa, au mfumo wa neva unakuwa haujakomaa vizuri.

Mtoto wa kawaida huanza kukaa akiwa na umri wa miezi 6 hadi 8 akiwa anajishikiza, na miezi 8 hadi 9 bila kushikiliwa. Ikiwa mtoto amefikisha miezi 9 hadi 10 na bado hawezi kukaa, hiyo ni ishara ya changamoto inayohitaji uchunguzi wa daktari.
Mkuu mshana sijaamini kama umecomment hapa Asante sana mkuu nimekuelewa sana.
 
Mkuu Asante sana Milo Kama ipi unanishauri, tafadhali🙏
Lishe ya kawaida Tu wala huhitaji gharama kubwa don't stress yourself.

Naamini ameshaonwa na Madaktari wa Watoto au neurologist kama hujawahi mpeleka basi upeleke ili upate mawazo ya kitalaam zaidi kuondoa wasi wasi wako. Lakini nilichokieleza ukizingatia kwa sababu na Mimi kilinipata na nilifanikiwa sana
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom