KERO Changamoto kuhusu Barabara ya Pangani - Muheza …kwanini haitengezwi miaka yote na bajeti hutengewa?

KERO Changamoto kuhusu Barabara ya Pangani - Muheza …kwanini haitengezwi miaka yote na bajeti hutengewa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kilumangah

New Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
1
Reaction score
0
‎Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) .....
‎
‎Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais , pia inatumika kupitisha Watalii, na mizigo mingi inayotokea Zanzibar to bandari ya Pangani kuja Muheza, Amani , Tanga mjini na wilaya za jirani ...Lakini pia ni shortcut inayoweza kukufikisha Saadani na Mkoa wa Dar,es salaam

‎Pia hutumika kupitishia Mazao makubwa ya Machungwa, maembe , Nazi, Katani n.k....
‎
‎Mara nyingi kwenye bajeti za Serikali kila inapopangwa , tetesi ni kuwa fedha Kwa ujenzi wa barabara hii na fedha ajili ya kulipa wananchi wa pembezoni mwa barabara zinakuwa zinatengwa ,ili kuwalipa wananchi na wapishe barabara ili ianze kukarabatiwa, lakini fedha haziwafikii wananchi na barabara imeachwa na ubovu wake + Vumbi Kwa miaka Mingi sasa ...

‎Pesa zinaenda wapi miaka yote , wananchi hawalipwi stahiki zao na barabara inatia Aibu Sana... ...
‎
 
Ugali wa watu huo

Unataka ijengwe halafu wakale wapi
 
Back
Top Bottom