Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

🀣🀣uko technical sasa,

kumbe ndivyo mambo yalivyo mazito na magumu kiasi hicho na mmekaa kimya tu? aise...!
 
Kataa ndoa, ndoa ni kamari.....
 
Hatuna pesa mkuu , yaan hali zetu ni mbaya nioe ili ale nini sasa , ukioa wewe inatosha mkuu.
anakula unachokila wewe....

ukinywa maji si unamuona kwenye glass?

na ukilala si haupati usingizi,

elezaneni Ukweli basi kwamba sina pesa, wanawake wengine waelewa wana moyo wanaweza kuamua kutoa pesa zao na ndoa ikafanyika, hii nayo labda wanaume wa kataa ndoa hamtaki?πŸ’
 
MImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake wengi hawana msimamo,kuhusu ndoa hawana mpango wakuoa. Wao nikulalana tu ndio wamejipa kipaumbele kwa wanawake na ni watiifu endapo hutaki ndoa.

Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa.
 
Hizo tuhuma nzito kutaka tigo
 
Acha basπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!?
Kabila gani madam tuje kuongeza mke wa pili hapo!?
 
Naam hasa hiyo point namba 3. Ndoa ni Exploitation kwa mwanaume.KATAA NDOA
 
Kama una kipato Cha permanent and pensionable wewe OA..

Kwa unga unga mwana sishaur mtu kuoa kaa tulia
"USITAFUTE MATATIZO KWA NGUVU"

Usije SEMA hatukukwambia😊
 
dah umeongea kwa hisia kali uchungu mingi sana aise madam.
inasikitisha sana πŸ’

by the way,
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba mwanaume yeyote anaekuomba sundrundru eti afanye kitu kwenye kijambizi chako, hakupendi wala hataki uwe mchumba wala mke wake baadae...
in short hana future na wewe, he is just using u na atembee mbele mwendo wa ngiri πŸ’

Jambo la Muhimu sana,
Mshirikishe Mungu nia yako ya kutafuta mwenza mwema wa maisha yako.
Halafu usijifungie ndani, nenda kwenye nyumba za ibada ukamuombe na kishiriki ibada na wengine, shiriki, jumuiya, mihadhara, seminar na warsha na vijana wenzako, yupo miongoni mwao anakutafita pia,

Nenda huko Mungu akawakutanishe na mfunge ndoa muanze maisha...
Mungu akubariki sana,

by the way,
unapatikana wap tafadhali mama πŸ’
 
Shida sio uchumi,ukizungumzia suala la uchumi nabisha.
Maana kuna ninaowafahamu wana uchumi mkubwa ila ukimgusia kuoa aisee ni kama umemwambia twende vitani.
Sababu kuu nizionazo mimi ni kama ifuatavyo;
1)Kutokufahamu ni nini maana ya ndoa,watu wengi siku hizi hawafahamu maana na faida ama kwanini wanatakiwa kuoa ama kuolewa.
Ndio maana kuna wengine wanachukulia ndoa kama kitega uchumi,wengine kificha maovu n.k n.k
2)Mmomonyoko wa maadili uliochagizwa na UTANDAWAZI ambao umesababisha jinsia zote mbili hasa wanawake kusahau majukumu yao kamili katika jamii,si wanawake wala wanaume wote wamejisahau katika jamii wao wana jukumu gani.Na moja ya huo utandawazi ni FEMINISM na masuala ya UHURU WA KIJINSIA.

Sababu kuu zinatoka hapa.
Kama watu wangelifahamu maana ya ndoa basi wangelioa sana tu.
Kama kusingelikua na mmomonyoko wa maadili uliochagizwa na utandawazi jinsia zote mbili zisingelisahau majukumu yao ya kijamii hata kiduchu,basi watu wangelioana sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…