Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

so,
you mean that ,
elimu ya mahusiana na uchumba ni Tatizo,
Lakini pia uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala ya maana, umuhimu na faida za ndoa ni changamoto kubwa pia inawafanya wengi waogope kuingia huko, right?πŸ’
 
Ndio kaka.
Hilo ndio tatizo moja wapo,nakumbuka wazee wetu walikua wanasema kabla hawajaoa ama kuolewa walikua wakizungumza na wazee wao(babu na bibi zetu) wakiwaeleza jukumu la kijamii kwa mwanaume na mwanamke lipoje,pia ni nini maana ya ndoa,faida za ndoa,changamoto za ndoa na namna ya kuiendesha ndoa pia namna ya kutatua changamoto za ndoa.
Aya nambie hilo linafanyika kwa sasa!?
Utandawazi umeharibu vichwa kiasi tukasahau namna ya kupata mafunzo kwa wazee wetu ya kijamii.
 
jimbo lipo wazi πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hizo tuhuma nzito kutaka tigo
na halafu hata nyie wanaume vijana kupendelea sundrundru za wadada na kupat hamu ya kuharibu vijambizi vyao mmeitoa wapi aise ndrugo zango mafirauni wakubwa nyiie???πŸ’
 
sure,
nadhan hicho ndicho chanzo kikibwa cha wengi wa vijana kuogopa na kua na hofu ya kuingia kwenye ndoa, dah πŸ’
 
na halafu hata nyie wanaume vijana kupendelea sundrundru za wadada na kupat hamu ya kuharibu vijambizi vyao mmeitoa wapi aise ndrugo zango mafirauni wakubwa nyiie???πŸ’
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu kama hujafanya tafiti wanawake ndio wanapendelea zaidi huo mchezo.
Katika wanawake 10 wa sasa 6 nzima wanapendelea hilo.
Wasingetuzoesha tusingezoea mkuu.
 
sure,
nadhan hicho ndicho chanzo kikibwa cha wengi wa vijana kuogopa na kua na hofu ya kuingia kwenye ndoa, dah πŸ’
Ndio maana mkuu unakuta vijana wa siku hizi busara/hekima hawana ndio maana wanashindwa kuhimili ndoa wanajionea mateso,pia wanawake wa siku hizi staha za maneno na matendo hawana,ndio maana wanajionea ndoa utumwa na kubanwa.
Hayo yote huyapati kama hujakaa na wazee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu kama hujafanya tafiti wanawake ndio wanapendelea zaidi huo mchezo.
Katika wanawake 10 wa sasa 6 nzima wanapendelea hilo.
Wasingetuzoesha tusingezoea mkuu.
kwahiyo ni wao ndio wanachochea vijana wanaume kutamani sundrundru na kujiingiza kwenye ufirauni dah?

sasa si muwe mnakataa,
kweli kabisaa nawe kijana mtanashati hivyo unashughulika na kijambizi kweli ,huoni kinyaa? unaskia starehe kweli si mateso ya harufu mbaya nzito ya washroom dah!

achaneni na hiyo uchafu bana πŸ’
 
😁😁😁😁Mnalazimisha sana mkuu , mbona mambo ya kupata vibunda hamtulazimishi kama ndoa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚oeni acheni kuwa viwanda vya kuzalisha Singo Maza, siku hizi unakutana na Singo Maza wa miaka 20 ni hatari sana
Wajinga ndo waliwao. Wanawake ni wajinga sometimes mmekutana tu mmetengeza urafiki yeye kiherehere anatega mimba ili eti umuoe hahahaha ndo wanapigwa na vitu vizito sasa . Mimi siku zote nasema mwanamke kuwa single mother anajitakia mwenyewe labda kwa wale ambao waliolewa na ndoa zikasumbua ila hawa wengine wameyataka wenyewe
 
😁😁😁😁Mnalazimisha sana mkuu , mbona mambo ya kupata vibunda hamtulazimishi kama ndoa?
hatutaacha kuhimizana na kulazimishana, kuzidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji wa kila moja wetu ni nguvu zako mwenyewe πŸ’

so,
ili upate kibunda ni Lazima uchape kazi kwa bidii bila kukata tamaa wala kunung'unika, na kuoa ni muhimu sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…