Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Mtu anayenifahamu akinitamkia siwezi kushangaa hata kama hatukuwahi kuwa na ukaribu ila kinachonishangaza ni.mtu kumtamkia mtu unampenda humjui ni mrefu au mweusi, mrefu au mbilikimo n.k. huu si wizi wa mchana kweupe huu
Kuna picha flan anakua nayo kichwan kutokana na huyo mtu alivyojidescribe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eee kweli sasa hao wanatafta disappointments za kujitakia
Kuna wengine huwa wanajiundia tu picha zao wanazozipenda sio kila wakati wanachukua mtu anavyojidescribe
 
Make-up. Pia editing na sauti Mara nyingi ndio tatizo online. Nilikuwa namwona Hemed wa kawaida kwenye movie. Siku nimemwona live sura ileile lakini urefu mlango ft 7 anainama
 
Mk
Mkuu Mimi sio muumini wa condom, naendaga peku baada ya kupima zaidi ya Mara moja....na msuguo wangu huwa una kasi ya 5G+, lazma nichubuke hata Kama ni bwawa kiasi gani ... Ndo maana naogopa vijana wanavyojirahisisha
Mkuu unakamia ka unaenda kupokea mshahara mwsho wa mwez?hil tendo n starehe tusifanye kwa weledi ka kazi
 
Huko sasa ndio wameharibika. Sasa hivi wana mtindo wa kuweka picha za enzi za ujana. Ukiwa mvumilivu ukarudisha maqasiliano whatsapp utapata picha yake halisi.
 
Ni kweli mimi sipingi mtu kutafuta mpenzi humu ila at least jenga urafiki walau umfahamu mtu kwanza ndio umtamkie unampenda, hii ya kufika PM na kuanza moja kwa moja kutongoza hakuna mtu anaweza kukuchukulia serious
Umeongea asali
 
Eeeh hvi wanaume wafupi na miili midogo mbna hatupendwi? Mnatunyanyasa sana
 
Haahahahahahahahahahah
 
Ni kweli mimi sipingi mtu kutafuta mpenzi humu ila at least jenga urafiki walau umfahamu mtu kwanza ndio umtamkie unampenda, hii ya kufika PM na kuanza moja kwa moja kutongoza hakuna mtu anaweza kukuchukulia serious
... halafu first date wakipanga mmoja anafanya booking ya hotel/guest house kabisa. Inashangaza sana, hapo ni lazima mmoja aumie tu!!!
 
Well, naamini ukikosea, huenda hiyo approach uliyotumia uliona inafaa, na kweli ilifaa coz you got rid of him instantly. Lakini as a friend wala hukuwa na sababu ya kumfungia vioo, ilikuwa mapema mno kufanya hivyo. Ungemwambia tu kuwa upo occupied na mambo yako, huhitaji urafiki nae kwa mda huo.

Binafsi datings zangu nyingi zimeanzia kwenye social networks, ila niliamini katika uwazi na kumwambia mtu jinsi ninavyojisikia kwake, atakavyonichukulia ni sawa tu coz that's my choice.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aliiona picha yako ya dp hii?
 
Shida ni K tu.... K ikiwa nzuri hata sura ya chafya haina noma...
 
Haha si hatari hii jamani, hapo mtu analiwa halafu line inatupwa
... halafu first date wakipanga mmoja anafanya booking ya hotel/guest house kabisa. Inashangaza sana, hapo ni lazima mmoja aumie tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…