Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Hivi kwanini mtu u act.

Why tu usijiamini. Harafu wasilolijua huwa tuna appreciate sana mtu anayejiamini. Kuna viti vingi vinaweza pelekea mtu akupende. Si lazima uact
 
Mi juzi nimeopoa kimeo kimoja toka Tinder, aisee ukiangalia picha zake alizoweka kule ni balaa, alipokuja live kidogo nilie, kweli sura ni yake ila umbile sasa, kama dwarf sasa sijui aliekua anampiga picha alikua anafanya maksudi au lah.

Niishia kumlipia nauli arudi kwao maana hata mzuka ulikata ghafla.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mabaharia okoeni jahazi litazama
 
Well mwaka juzi nilisajili line ya mtandao fulani, sasa nafikiri ni namba iliyokuwa inatumiwa na mtu kabla yangu then ikarudishwa kwenye system. Kuna siku mwanaume akapiga akimuulizia mwenye alikuwa na hiyo namba kabla yangu. Nikamwambia mie ndio mwenye namba na simtambui mtu huyo. Alisisitiza sana kuwa namba anayo kaisave kwa simu yake ila ni kitambo kidogo hajawasiliana nae.
Nilimwelewesha baadae akanielewa na ukawa mwanzo wa mawasiliano. Tukafahamiana majina na mambo mengine, to cut the long stor short baadae tukapanga kuonana. Kwenye picha alionekana mrefu na mwili wa wastani ukijumlisha na bonge la sauti ya kiume nikasema YES.
Sasa siku ya kuonana nae sikuamini nikahisi ni mtu mwingine kaja, jamaa ni kafupiiii, kanenee, kitambi kama gunia. Nilijikaza sikuonyesha kushtuka sana. Alifurahi kweli, tukapiga story,tukala na kunywa then tukaagana kuwa tungeonana siku inayofuata. Mungu anisamehe nilizima simu na sikuitumia tena ile line.
avatar tu
Ok, Ila kusema ukweli huyo mrembo wa kwenye hiyo avatar yako ni mkali vibaya sana unaweza ukajikuta unahonga nyumba na gari.
 
Afadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza
Hili kama tusi hivi!?
 
Mimi niliwahi kutongoza fb kwa mara ya kwanza dem sikumuelewa kiviile.
Jambo lilianza February hii ya majuzi wazee ,kama kawaida mafisi walivyo nikazama gallery kwa mtoto kuchek picha zake ili nijiridhishe ah hazikuwa na mvuto infact dem nilimuona low class,nakuja kwenye chart sasa hapo ndo alinipa Mood ya kukutana nae baada ya kuniambia kwao Mikocheni namimi Mbezi nikaona wa karibu huuuyooo bear in mind "out of sight out of mind".
Kwenye mazungumzo ya hapa na pale tunapanga appointment sasa.....the process took about 2months almost. Finally ni jaana hii wadau jana hii mbichi Pisi inatimba maskani ebwanae sikuamini macho yangu mpaka ilibidi nijishtukie pale nilipo kuhisi labda manzi angeni underrate since alikuwa pini kishenzi, mdogo mdogo,curves imesimama daaah mwanaume ilinibidi ni extend budget bila kujishauri mara mbili mbili.
The Good news is the lady loves me so much and she appreciate the way natural I look from the photos to the really life.
I probably gonna let you know what will happen huko mbele kama ni ndoa au ndoano.
Kwa haya maelezo najua ulishapiga bila kugonga helmet.
 
We ulishawah tongozwa kwa ushauri wa ushimen uliouona
Afadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza
 
Back
Top Bottom