Changamoto usafiri wa SGR

Changamoto usafiri wa SGR

1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Kutoka twitter kwa Somebarry
 
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Hizo changamoto zitatatuliwa tu tuwatie moyo ni mwanzo mzuri.
 
Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
Emirates Airways ipo ya seat 3-4-3, yaani row moja ina siti kumi. Sasa sijui nako huko mlishatoka muda mrefu!

1718782791698.png
 
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Ukitaka kujua train za wenzetu angalia hii ya Ethiopia kuanzia dakika 4:25 utaelewa sana

View: https://youtu.be/H32HHPJclF4
 
Tulisema hapa,
Mtanzania mwambie akujengee, anaweka mjengo wa kufa mtu ila mwambie baada ya kujenga asimamie...hamna kitu.

Soon utasikia mwekezaji aje, tumeshindwa...we're good for nothing! Bitter truth...
 
Back
Top Bottom