Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Msimamo ni uleule ndoa itabaki kua ndoa kinachotufelisha ni kutofuata taratibu zake ndio mtokeo ya vilio vyote hivi
 
@National Anthem
fundi bishoo
Santos06

Hapo vipi [emoji17]
 
Ushamba hu au Limbukeni sio kingine
 
Huo mtego wa ndoa boss we endelea kula mbususu tu hata mahali usilipe Hamna pisi apo
Ogopa sana mwanamke anaefosi ndoaπŸ˜€πŸ˜€. Ukishamuoa utaona rangi zake zote
 
"Ile sauti uisikiayo ndani ya moyo wako ndiyo inaitwa kweli" Fid Q.

Ukitaka kusikia maoni ya watu hapa utaondoka kapa. Maana miluzi itakuwa mingi Sana.
mimi ni muumini wa non-directional hypothesis. mkuu. japo nna yangu kichwani kama ulivyosema but napenda kujifunza na kuongeza kitu kidogo. thank u mkuu kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…