Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Wanawake wenyewe ndio hawa?View attachment 2513369
Daah mwanamke ubongo mdogo kweli. Usikute hata tofali au balbu hajawahi nunua kwenye hiyo nyumba. Amemletea mzigo tu Dr wa watu. Alafu hawa wanawake nani aliwadanganya kwamba wakiolewa wanolewa na Yesu!!???
Hakunaga kitu kinaitwa parfect husband!!??
Tunavumiliana tu hivyo hivyo
Ukiolewa kubali Ku surrender baadhi ya haki ili kulinda ndoa.
Sometime naanza kuelewa watu wanaokataa ndoa
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa😲.
 
Ukweli unajidhirisha kua upeo wako ni mdogo mno, skiza hakuna ukristo wala uislam unaopendelea mwanamke kwenye ndoa zaidi yakumpa mamlaka mwanaume ya kumtawala mwanamke...

Upumbavu wa sasa mtawala analalamika kuonewa na mtawaliwa, tena kwenda mbali zaidi mtawala anamuogopa mtawaliwa... laana hii jamani...

Skiza we kahaba wa kiume, kubadilisha wanawake si urijali bali ni udhaifu mkuubwa... uanaume ni kukabiliana na majukumu, uaanaume nikutawala, uaanaume ni kutiisha.

Na kuwagongagonga usidhani ni sifa mademu wana siri nyingi juu yetu kuna unazadhani unawakomoa kumbe wanakulinganisha na wanaume waliopita wanakuona boya flani ivi.... wake up USHOGA unakunyemelea
Ukweli unajidhirisha kua upeo wako ni mdogo mno[emoji1545][emoji818]
 
Pointi za hovyo sana. Ndo baba anakwambia kipindi tunasoma tunatembea KWA mguu maili10. Sasa baba mbona hilo la kawaida mliweza kuadapt hivyo kwakuwa kulikuwa hakuna alternative nyingine yaani huwa sipendi hizi sababu za kijinga sana[emoji23][emoji23][emoji23]mtu mzima kakaa anaona anaandika cha maana ovyo tu
Umri unachangia
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa[emoji44].
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.[emoji1545][emoji818]
 
Wakataa ndoa
ed68fe034cf3f70c9febde67979bf526.jpg
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa😲.
Mtu aliyeoa anakuwaje single sasa? Mtu kaoa na ana watoto, hiyo ni single? Watu hawakatai kuoa, wanakataa kufunga ndoa!
 
Mada zinazo wajibu vijana wanao kataa ndoa,ndo zinasambaza kwa kasi hyo mada..mada za kujibu zimekuwa nyingi mnoo kuliko content yenyewe ya kataa ndoa.
 
Mkuu mshana nmesoma kwa umakin mno , kiufupi tu umemaanisha vijna hawana nguvu za kiume ,je kwanini hao wake zenu ( mashangazi) wanapenda vijana wadogo wa sasa? , Na kwa nini nyie wazamni mlitumia mbinu ya ukeketaji kama njia ya kumtuliza mwanamke kwenye ndoa? Kama mlikua na nguvu za kutosha kwa nini mlitumia njia hii?, Tatu asilimia kubwa ya wakataa ndoa mfano mimi nina mke nipo nae mwaka wa 4 huu , wimbo wake kila sku anataka ndoa , mimi nikamwambia mpka naingia kaburini sitafunga ndoa kama hataki asepe ila naona ndo kwanza yupo apa anatoa manguo yangu machafu niliyosotea kazini wiki nzima[emoji16][emoji16] , mkuu mshana nilitegemea ungetoa matatzo ya hizi ndoa kwa upande wa mwanaume inapotokea ndoa inavunjwa hasara atakazo pata , kiufupi tu bado mkuu mshana unaona wakataa ndoa ni mashoga wakati wakataa ndoa hawajasema wanakataa mwanamke , wao walichokataa ni kufunga ndoa na huyo mwanamke kwa sababu sheria za ndoa sio rafiki ,imewapa viburi mno wanawake zaidi.

Mi ningekuroga ungeoa tu
Miaka minne hutaki ndoa dadeki[emoji35]
 
Back
Top Bottom