Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“.....Kama mume na mke...”, sasa hiyo kamera iliyotuchungulia kwa miezi mitatu kuona kama tuliishi kama mume na mke sijui mtaitoa wapi 😂😂😂..Ukikaa na mwanamke kwa miezi mitatu na kuendelea kwa sheria za nchi yetu huyo ni mkeo kisheria na ana haki zote za ndoa.
Cheti ni karatasi tu.
Baba zetu kwa asilimia kubwa sana hawakuwahi kuwa na cheti cha ndoa lakini wameishi maisha ya ndoa yaliyotukuka hata uzeeni na kuzikana.
Hivyo kimsingi sijaona unachokataa katika ndoa ilhali umeoa.
Nikiishi na dada yangu (ni mwanamke) kwa siku 90 anakuwa mke wangu kwa sheria za Tz au sio? Hivi utaahira ni kipaji kumbe?Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Kweli utaahira ni kipaji, hivi nikiishi na dada yangu miezi mitatu (ni mwanamke pia), kwa hizo sheria zenu anakuwa mke wangu, thats Fck up shit!Ukikaa na mwanamke kwa miezi mitatu na kuendelea kwa sheria za nchi yetu huyo ni mkeo kisheria na ana haki zote za ndoa.
Cheti ni karatasi tu.
Baba zetu kwa asilimia kubwa sana hawakuwahi kuwa na cheti cha ndoa lakini wameishi maisha ya ndoa yaliyotukuka hata uzeeni na kuzikana.
Hivyo kimsingi sijaona unachokataa katika ndoa ilhali umeoa.
Hakuna aliyepinga kwamba unaishi na hawara au whatever, kikubwa ni kukataa ndoa! Wewe oa, ila ndoa hapana!Kwa mujibu wa Dini ya Roma Ni kuwa wewe unaishi na hawara.Huna sakrament ya ndoa.Sujui Dini. Zingine zinasemaje.
Umejibu kwa weledi wa hali ya juu. Hata huko China wanaposifiwa kupiga kazi huwezi kuta wachina wako sokoni wanabeba magunia ya viazi mabegani.. kila kitu wanatumia mashine. Pia kukuta mtu anatembea umbali mrefu ni nadra kwa sababu wana usafiri wa kila aina.. yaani maisha yamerahisishwa mno mchawi ni hela yako tu. Kimsingi kwa sasa walioendelea wanapambana na muda. Sisi huku tunalazimishana tuishi kama walivyoishi vijana wa TANU.Ila wazee wa zamani mna mambo nyie...Mentality yenu ipo stagnant kama Policies za French kutawala afrika. Let me break it down for you.
Zamani mlilima hivyo kwakua trekta na plau zilikua chache. Sasa hivi trekta zimejaa tele kwanini tulime kwa jembe la mkono. Teknolojia ya mwaka 10000 BC
Mlitembea hivyo sio kwa kupenda usafiri ulikua shida...kama bodaboda zingekuwepo hata nyie msingetembea umbali huo
Ni uamuzi wa mtu... Organic drink n food zipo. Hata nyie kama Mo energy zingekuwepo mngekunywa. Enzi hizo mlikua mnasafiri kwemda huko ili tu mpate soda.
Tutafanyaje kazi za jasho wakati maisha ya sasa ni tech based kila shughuli zipo ipo computerized. Hata nyie hamkupenda kuzifanya. Sema hamkua na options
Wala hizo sio sababu za kukataa ndoa kabisa. Maisha is about to chabge and adapt. Nyie wazee mnataka tuishi kama tupo karne ya 20.zamani chakula kiliwatosha coz mlikua watu wachache nchini ndo maana kuku wa kienyeji mliweza kusubiri ikae miezi 6. Sasa hivi tuko 60+ unategemea hao kuku watatutosha??? Lazima broiler na GMOs food zihusike.
Acheni kutufosi tuishi maisha yenu nyie wazee hata nyie mliyaishi bila kupenda
Ps. Mimi sipingi ndoa... tena kwa caliber yangu siwezi ishi bila partner so Sikupingi hoja yako ila nakupinga point ulizoweka kutetea hoja yako.
#Ndoa muhimu #Kubali ndoa
Hivi, unaweza kuandikiwa mwanamke feminist? Kwani maandiko yanasemaje kuhusu mahusiano ya mume na mke katika ndoa!Nawashauri msikatae ndoa bali piga maombi kwa Mola wako ili upate uliyeandikiwa. Najua wengi tunaoa wake za watu, basi omba uoe mke wako halisi. Mke halisi ni yule wewe mwenyewe umeondoa usichana wake.
Jibu hoja, acha vitisho visivyo na mashiko yoyote.Anae pinga ndoa anapinga future ya maisha yake.
Kijana wakiume atakuja kujuta na hizi hoja zakupinga ndoa.
Weka hapa hicho kifungu cha sheria tusome wote. Mbona unaongea bila vithibitisho?Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Wapo watu wanaishi na dada zao mwaka mzima, je, anakuwa mke? 😂😂Weka hapa hicho kifungu cha sheria tusome wote. Mbona unaongea bila vithibitisho?
Hauko sirias kabisa, population of M 60 ndiyo sababu ukose chakula asili nakati hata Nigeria wako zaidi ya M 214.4 lakini bado wanakula vyakula vya asili chungunzima.Ila wazee wa zamani mna mambo nyie...Mentality yenu ipo stagnant kama Policies za French kutawala afrika. Let me break it down for you.
Zamani mlilima hivyo kwakua trekta na plau zilikua chache. Sasa hivi trekta zimejaa tele kwanini tulime kwa jembe la mkono. Teknolojia ya mwaka 10000 BC
Mlitembea hivyo sio kwa kupenda usafiri ulikua shida...kama bodaboda zingekuwepo hata nyie msingetembea umbali huo
Ni uamuzi wa mtu... Organic drink n food zipo. Hata nyie kama Mo energy zingekuwepo mngekunywa. Enzi hizo mlikua mnasafiri kwemda huko ili tu mpate soda.
Tutafanyaje kazi za jasho wakati maisha ya sasa ni tech based kila shughuli zipo ipo computerized. Hata nyie hamkupenda kuzifanya. Sema hamkua na options
Wala hizo sio sababu za kukataa ndoa kabisa. Maisha is about to chabge and adapt. Nyie wazee mnataka tuishi kama tupo karne ya 20.zamani chakula kiliwatosha coz mlikua watu wachache nchini ndo maana kuku wa kienyeji mliweza kusubiri ikae miezi 6. Sasa hivi tuko 60+ unategemea hao kuku watatutosha??? Lazima broiler na GMOs food zihusike.
Acheni kutufosi tuishi maisha yenu nyie wazee hata nyie mliyaishi bila kupenda
Ps. Mimi sipingi ndoa... tena kwa caliber yangu siwezi ishi bila partner so Sikupingi hoja yako ila nakupinga point ulizoweka kutetea hoja yako.
#Ndoa muhimu #Kubali ndoa
Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.[emoji818][emoji817]Hauko sirias kabisa, population of M 60 ndiyo sababu ukose chakula asili nakati hata Nigeria wako zaidi ya M 214.4 lakini bado wanakula vyakula vya asili chungunzima.
Kazi soft si kigezo mwili wako ushindwe kutoa jasho, mbona mi mwenyewe nafanya kazi hizo hizo za computerized system lakini natumia muda wa ziada kufanya mazoezi zaidi ya dakika 80 nikikimbia zaidi ya KM 16 + dakika 20 kufanya mazoezi ya viungo, push up, squash kwa kila baada ya siku 1 na Mungu ni Mwema kwangu sijawahi kuugua kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita?
Muwe Me wa leo na kesho, siyo kuwa walaini laini kama Ke ambapo hata ile Men personality inakuwa haipo kabisa, yani si dhambi kufanya white collar jobs lakini ni dhambi kubwa sana Me kukosa namna ya kuujenga mwili kiafya kwa kuzingatia lishe bora na kucheki afya mara kwa mara.
Yani dume zima na rijali kabisa linatoka Kariakoo Gold Star kwenda Mnazi Mmoja haliumwi, halina haraka wala sababu ya msingi lakini linaounbazika na kupanda gari utadhani akitembea mdogo mdogo atakufa daaah...[emoji119][emoji3]
Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.
Mungu tusaidie kizazi hiki, Amina.
Wewe kichwa kigumu sana, umeshaambiwa watu hawakatai kuoa, wanakataa ndoa.., bado unakaza kichwa tu 😃Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.[emoji818][emoji817]
Ndio maana tunasema kila mtu aoe, lakini hakuna kufunga ndoa, kataa ndoa 😂Ni kweli kabisa lakini kwenye maisha ni kipi kinakosa changamoto?
Elimu ya maarifa ni kitu muhimu sana.. Beijing isiwe kisingizio cha kukwepa ukweli usiosemwaAisee, hoja iko wapi sasa hapo!!??
Unataka kusema vijana wakifanya kazi za jasho itasaidia kurekebisha tabia za watoto wa kike ndani ya ndoa!? Itafuta sheria kandamizi zinazolenga kumpa mamlaka makubwa mwanamke ndani ya ndoa!?
Tatizo la ndoa lilianzia Beijing na kukamilika Kanisani.
2023 #KATAANDOA
Inaonekana una uelewa mdogo mno. Sisi tunakataa ndoa ya kanisani/msikitini au Bomani inayompa haki zote mwanamke na watoto na kumpuuza mwanaume. Hatujawahi kupinga mahusiano ya mwanaume na mwanamke.Kampeni kataa ndoa ni mlango wa pili kuhalalisha na kusimika mahusiano ya jinsia moja (USHOGA) niulize kwann??
Kampeni hii inazoofisha thamani ya mwanamke kwa mwanaume na kukuza thamani ya mahusiano ambayo kwa mwanzo yanaonesha urafiki wenye thamani zaidi ambapo hupelekea mapenzi ya jinsia moja (hii imekaa kiroho zaidi)
Hivyo tunaona nguvu kuubwa ya halalisha ushoga inatangazwa hadhari jua ya kwamba sirini walishamaliza mikakati yao kama mjuavyo mzungu (SHETANI) hakurupukagi.
NB. Nilioa ndoa ikavunjika na nikweli wanawake wanachangamoto lakini si kwamba nami ni mkamilifu nna zangu na bado natamani kuoa tena kunako majaaliwa
Ndo umefanya nini sasa, unapinga hoja alafu mwisho unaiunga mkono!?Ila wazee wa zamani mna mambo nyie...Mentality yenu ipo stagnant kama Policies za French kutawala afrika. Let me break it down for you.