Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh Mungu utusaidie sisi wanawake kabla hatujaingia kwenye ndoa.Wanawake wenyewe ndio hawa?View attachment 2513369
ndiooooooNdoa ni nzuri ni baraka.
Kuachana tunawaza kwa sababu ndoa ya cheti ipo kwasababu pia kuna kuachana , kusingekuwa kuna kuachana sizani kama hizo ndoa zingekuwepo.Kwa nini mnawaza zaidi kuachana badala ya kuwaza kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha? Mnahofia nini hasa?
Ukikaa na mwanamke kwa miezi mitatu na kuendelea kwa sheria za nchi yetu huyo ni mkeo kisheria na ana haki zote za ndoa.Hakuna anaepinga kuoa na kujenga familia, kinachopingwa ni ndoa, hivi ni kweli hamuelewi au mnagandisha ubongo kwa makusudi?
Tanguliza positivity kila kitu kitaenda sawa.. Tanguliza negativity ndoa itakufa kiroho hata kabla haijafungwaKuachana tunawaza kwa sababu ndoa ya cheti ipo kwasababu pia kuna kuachana , kusingekuwa kuna kuachana sizani kama hizo ndoa zingekuwepo.
Wanahofia kugawana mali.Kwa nini mnawaza zaidi kuachana badala ya kuwaza kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha? Mnahofia nini hasa?
Hicho ni kisingizio tuu kuna kimoja kikubwa wanaona haya kukisema hadharani wanaogopa kuchekwa na kubezwaWanahofia kugawana mali.
Sasa wengi wa hawa wanaohofia kugawana mali maana mawazo yao ni kuachana na huyo mwanamke hata kabla hawajaanza kuishi pamoja ni wapangaji.
Kwenye nyumba za kupanga kuna vitendea kazi tu kama fanicha na vyombo vya jikoni.
Msingi ukiwa kuachana kupo kisheria m katika mahakama zetu hofu yao ni nini?
Kampeni hii imekaa kiroho zaidi kuliko kifamilia katika mwili. Msingi mkuu wa uumbaji ni familia. Hivyo basi hili ni shambulio lililo silaha ya mwisho na ya juu kabisa ya adui.
UpHiki ndicho tunawaambia hawa jamaa, sio kwamba hatuoi, mimi nimeoa huu ni mwaka wa saba, nina watoto wanne, kila siku nasumbuliwa ndoa..., nikimuuliza ndoa faida yake nini hana jibu.., ila hawa wamekazania na hoja ya ushoga tu.., kana kwamba kuna mtu anakataa kuoa, tunakataa Ndoa!
Kwa mujibu wa Dini ya Roma Ni kuwa wewe unaishi na hawara.Huna sakrament ya ndoa.Sujui Dini. Zingine zinasemaje.Hiki ndicho tunawaambia hawa jamaa, sio kwamba hatuoi, mimi nimeoa huu ni mwaka wa saba, nina watoto wanne, kila siku nasumbuliwa ndoa..., nikimuuliza ndoa faida yake nini hana jibu.., ila hawa wamekazania na hoja ya ushoga tu.., kana kwamba kuna mtu anakataa kuoa, tunakataa Ndoa!
Ni aibu Mwanaume mwenye akili timamu kukataa ndoa kwani ndoa ni ibada, mtu akisema anajipanga kwanza aoe hapo tutaelewa au akisema muda ukifika ataoa hapo sawa lakini wanaokataa ndoa hawana hoja kabisa,
Umeenda mbali ishu zamani walitawalia na mila zilizo mnyima uhuru mwanamke na kumfanya asiwe na maamuz hata anapopitia magumu tofauti na sasa amepewa nguvu kuliko mwanaume na kuvanya ndoa kua ya mafahali wa wili ndo mana zizi (ndoa) hazikalikiIla wazee wa zamani mna mambo nyie...Mentality yenu ipo stagnant kama Policies za French kutawala afrika. Let me break it down for you.
Zamani mlilima hivyo kwakua trekta na plau zilikua chache. Sasa hivi trekta zimejaa tele kwanini tulime kwa jembe la mkono. Teknolojia ya mwaka 10000 BC
Mlitembea hivyo sio kwa kupenda usafiri ulikua shida...kama bodaboda zingekuwepo hata nyie msingetembea umbali huo
Ni uamuzi wa mtu... Organic drink n food zipo. Hata nyie kama Mo energy zingekuwepo mngekunywa. Enzi hizo mlikua mnasafiri kwemda huko ili tu mpate soda.
Tutafanyaje kazi za jasho wakati maisha ya sasa ni tech based kila shughuli zipo ipo computerized. Hata nyie hamkupenda kuzifanya. Sema hamkua na options
Wala hizo sio sababu za kukataa ndoa kabisa. Maisha is about to chabge and adapt. Nyie wazee mnataka tuishi kama tupo karne ya 20.zamani chakula kiliwatosha coz mlikua watu wachache nchini ndo maana kuku wa kienyeji mliweza kusubiri ikae miezi 6. Sasa hivi tuko 60+ unategemea hao kuku watatutosha??? Lazima broiler na GMOs food zihusike.
Acheni kutufosi tuishi maisha yenu nyie wazee hata nyie mliyaishi bila kupenda
Ps. Mimi sipingi ndoa... tena kwa caliber yangu siwezi ishi bila partner so Sikupingi hoja yako ila nakupinga point ulizoweka kutetea hoja yako.
#Ndoa muhimu #Kubali ndoa
Wapo tena wengi yawezekana lakini hawana uhuruKwani hakuna mashoga waliooa?
Kwani sisi wote ni waroma??? Mbona unalazimisha tuamini miongozo ya dini yako???Kwa mujibu wa Dini ya Roma Ni kuwa wewe unaishi na hawara.Huna sakrament ya ndoa.Sujui Dini. Zingine zinasemaje.