Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makorokoro ya sheria kandamizi yaliyopo kwnye ndoa yameleta tofauti ya kuoa na ndoa , tunaishi na wanawake bila ndoa kukwepa hayo makorokoro yaliyokaa kitapeli tapeli , hawa wanawake hatuna ndoa nao ila mtaa nzima wanajua ni mke wa fulani.Hakuna anaepinga kuoa na kujenga familia, kinachopingwa ni ndoa,[emoji3064]
Aliyeelewa naomba anieleweshe
Hakuna anaepinga kuoa
kinachopingwa ni ndoa
Asante mkuu, nimefanya hivyoMkuu una akili mingi mno , kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti , usingetakiwa ukomenti tu huku , ungefungua uzi kabisa mkali.
sikutegemea kama huyu legend atakuja na hoja dhaifu kiasi hiki!Ila wazee wa zamani mna mambo nyie...Mentality yenu ipo stagnant kama Policies za French kutawala afrika. Let me break it down for you.
Zamani mlilima hivyo kwakua trekta na plau zilikua chache. Sasa hivi trekta zimejaa tele kwanini tulime kwa jembe la mkono. Teknolojia ya mwaka 10000 BC
Mlitembea hivyo sio kwa kupenda usafiri ulikua shida...kama bodaboda zingekuwepo hata nyie msingetembea umbali huo
Ni uamuzi wa mtu... Organic drink n food zipo. Hata nyie kama Mo energy zingekuwepo mngekunywa. Enzi hizo mlikua mnasafiri kwemda huko ili tu mpate soda.
Tutafanyaje kazi za jasho wakati maisha ya sasa ni tech based kila shughuli zipo ipo computerized. Hata nyie hamkupenda kuzifanya. Sema hamkua na options
Wala hizo sio sababu za kukataa ndoa kabisa. Maisha is about to chabge and adapt. Nyie wazee mnataka tuishi kama tupo karne ya 20.zamani chakula kiliwatosha coz mlikua watu wachache nchini ndo maana kuku wa kienyeji mliweza kusubiri ikae miezi 6. Sasa hivi tuko 60+ unategemea hao kuku watatutosha??? Lazima broiler na GMOs food zihusike.
Acheni kutufosi tuishi maisha yenu nyie wazee hata nyie mliyaishi bila kupenda
Ps. Mimi sipingi ndoa... tena kwa caliber yangu siwezi ishi bila partner so Sikupingi hoja yako ila nakupinga point ulizoweka kutetea hoja yako.
#Ndoa muhimu #Kubali ndoa
mshanaSehemu ya tatu
Tafsiri potofu, kengeufu kuhusu ndoa
Kama nilivyosema ndoa ni ya watu wawili wenye akili timamu na wanaojitambua na kuamua kuingia kwenye hiyo ndoa
Sasa lazima kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kuvumiliana kuwepo.. Hakuna mkamilifu kati ya wawili kila mmoja ana mapungufu yake.. Chukua mazuri ya mwenzako na mapungufu yake yapime kama yanabebeka ama la na kama yanarekebishika.. Wengi hushindiwa hapa
Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana linapokuja kwenye swala zima la hisia na upendo ni mwepesi kuumia lakini pia ni mwepesi kusamehe na kuendelea kuvumilia
Anapofika mwisho wa uvumilivu ndio naye huamua kufanya yanayoitwa usaliti.. Pole moja tu kwa mtu baki inaweza kuhamisha hisia zake zote
Mpe mwanamke kila kitu lakini usiache kumtimizia mahitaji yake ya kingono, kumuonesha upendo, heshima na kumjali..
Kuna wanawake ni 'wabaya' kutokana na background yao! Hawajawahi kupata upendo ama heshima.. Wakichukuliwa ni chombo cha starehe ..hawa ukiingia nao kwenye ndoa unapaswa kuwekeza hasa hisia zako kwake ukikosea tuu kidogo kampeni ya kataa ndoa inakuhusu
Hahaha, sasa tusione unaleta tena hoja zako kama taahira flaniBasi tuishie hapa asante
Ukiishi na mwanamke miezi mitatu umefunga ndoa sawa ,ila utakapo kuwa mahakamani kwa sheria za ndoa hii kesi nashinda mapema kama sijasaini pahala. Ingekua hyo sheria ina nguvu wala hakuna mwanamke angelazimisha kufunga ndoa , kuwa na ndoa ya vyeti alafu mwache hyo mwanamke ishi na mwingne miaka kumi bila cheti , alafu yule wa cheti aende mahakamani uone kama hakimu atakuambia ww una wake wawili.fugaku nimezisoma hoja za vijana ni nyepesi mno na kwakweli hazina mantiki na kuna vitu hawavielewi
1. Wanakataa ndoa kwa tafsiri ya kuwa na vyeti vya ndoa .. Kwamba wako tayari kuishi na mwanamke lakini sio kufunga naye ndoa[emoji38]
sheria inasema ukiishi pamoja na mwanamke kwa miezi mitatu kisheria hiyo ni ndoa tayari.. Hili hawalijui
2. Hawataki/wanapinga sheria ya kugawana mali nusu kwa nusu . . huu nao ni woga wa kijinga kabisa na kukosa kujiamini.. Hivi unafunga ndoa ili muachane? Kwahiyo ndoa inakufa hata kabla hamjaanza kuishi pamoja kwakuwa badala ya kujenga familia mnawaza kugawana mali mkiachana
3. Kiburi cha wan awake
Ndoa sio kitu cha kukimbilia wengi wanakutana na mabinti huku mijini na kabla hawajafahamiana vema ndoa hii hapa! Ukiingia huko ndani ndio unakutana na mengine mengi
Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?Makorokoro ya sheria kandamizi yaliyopo kwnye ndoa yameleta tofauti ya kuoa na ndoa , tunaishi na wanawake bila ndoa kukwepa hayo makorokoro yaliyokaa kitapeli tapeli , hawa wanawake hatuna ndoa nao ila mtaa nzima wanajua ni mke wa fulani.
Hyo kesi ya hivyo mahakamani naishinda mchana kweupe bila haki sawa kandamizi kunitafuna.Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Kwa nini mnawaza zaidi kuachana badala ya kuwaza kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha? Mnahofia nini hasa?Ukiishi na mwanamke miezi mitatu umefunga ndoa sawa ,ila utakapo kuwa mahakamani kwa sheria za ndoa hii kesi nashinda mapema kama sijasaini pahala. Ingekua hyo sheria ina nguvu wala hakuna mwanamke angelazimisha kufunga ndoa , kuwa na ndoa ya vyeti alafu mwache hyo mwanamke ishi na mwingne miaka kumi bila cheti , alafu yule wa cheti aende mahakamani uone kama hakimu atakuambia ww una wake wawili.
haina nguvu kama ya makaratasi.. inakosa nguvu katika mengi sana.. tofauti ukiwa na vyeti vileSheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
NGUVU za kiume ni chachu kwenye ndoa hilo halikwepeki kusalitiwa kuna viasili vingiHata uwe na nguvu za kiume za kutisha, huwezi mtawala mwanamke kahaba au mwanamke aliyekuzidi pesa. Mtu katembea na wanaume 10 unataka kumhandle?
Mbona wanaume wa zamani kama Nabii Hosea licha ya kuwa na nguvu nyingi ila alisalitiwa na Gomeri mkewe?
Mwanamke mwema ni product ya malezi Bora tu.
Sasa hyo ni mada nyingne tena ya wanaume mario , mwenye kupenda kulelewa.Kwanini ifike mahali uende mahakamani? Je ni vipi kama sehemu kubwa ya mali kachuma mwanamke?9