Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Hakuna anaepinga kuoa na kujenga familia, kinachopingwa ni ndoa,[emoji3064]

Aliyeelewa naomba anieleweshe

Hakuna anaepinga kuoa
kinachopingwa ni ndoa
Makorokoro ya sheria kandamizi yaliyopo kwnye ndoa yameleta tofauti ya kuoa na ndoa , tunaishi na wanawake bila ndoa kukwepa hayo makorokoro yaliyokaa kitapeli tapeli , hawa wanawake hatuna ndoa nao ila mtaa nzima wanajua ni mke wa fulani.
 
sikutegemea kama huyu legend atakuja na hoja dhaifu kiasi hiki!
pia kuna thread nilimwambia anahoja dhaifu sana,ona sasa wadau wanamvua nguo

Hata mimi sipingi ndoa ila hawa watetezi wetu wa ndoa wanahoja nyepesi sana tofauti na wanaohoji
 
mshana

Zama zimebadilika sana.

Unachoandika ni "ideal" ama "laboratory situation". Kwa ground mambo ni tofauti sana.

Maoni yangu:
1. Kampeni ya kukataa ndoa ni kampeni hasi. Msingi wake ni dini inayokua wakati huu (satanism).

2. Kitabu kikongwe Bible kimeandika nyakati hizi za mwisho (escatolojia) machukizo mengi yatatukia. Kwamba mambo mengi kinyume na kusudio la mwenye kuumba mbingu na nchi yatatamalaki.

3. Yaliyojiri kule Sodoma, Gomora na Ile miji miwili Zama hizi yatatukia Dunia mzima. The worst is yet to come.

4. Wenye Imani wasichoke kukemea machukizo.

Kifupi niseme,vita dhidi ya ndoa ndio vita ya msingi kabisa ya Shetani. Anajua ndoa ndio muujiza wa kwanza kabisa wa Muumba. Anajua ndoa zikiwa na amani Watu watamsifu na kutumkuza Mungu kwenye ndoa. Hili jambo Shetani hakubali kamwe.

Hii vita haijaanza kabisa. The worst is yet to come.
 
Ukiishi na mwanamke miezi mitatu umefunga ndoa sawa ,ila utakapo kuwa mahakamani kwa sheria za ndoa hii kesi nashinda mapema kama sijasaini pahala. Ingekua hyo sheria ina nguvu wala hakuna mwanamke angelazimisha kufunga ndoa , kuwa na ndoa ya vyeti alafu mwache hyo mwanamke ishi na mwingne miaka kumi bila cheti , alafu yule wa cheti aende mahakamani uone kama hakimu atakuambia ww una wake wawili.
 
Makorokoro ya sheria kandamizi yaliyopo kwnye ndoa yameleta tofauti ya kuoa na ndoa , tunaishi na wanawake bila ndoa kukwepa hayo makorokoro yaliyokaa kitapeli tapeli , hawa wanawake hatuna ndoa nao ila mtaa nzima wanajua ni mke wa fulani.
Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
 
Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Hyo kesi ya hivyo mahakamani naishinda mchana kweupe bila haki sawa kandamizi kunitafuna.
 
Kwa nini mnawaza zaidi kuachana badala ya kuwaza kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha? Mnahofia nini hasa?
 
Hyo kesi ya hivyo mahakamani naishinda mchana kweupe bila haki sawa kandamizi kunitafuna.
Kwanini ifike mahali uende mahakamani? Je ni vipi kama sehemu kubwa ya mali kachuma mwanamke?9
 
Sasa vijana wetu wa kisasa
Hamfanyi kazi za jasho
Chakula chenu chips kuku broiler na mayai yake
Vinywaji vyao ni hivi vya kuua nguvu ..ni haki kukataa ndoa

[emoji115]
Hapo bado punyeto
 
NGUVU za kiume ni chachu kwenye ndoa hilo halikwepeki kusalitiwa kuna viasili vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…