Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Watoto tunao na tunawatunza vema sana, hata hao wanawake tunao na wengine tunaishi nao ila issue ya kuoana wasahau.
Mwanamke ni kiumbe bora sana kabla ya ndoa.
2023 #KATAANDOA
 
Tuwafunze watoto wa kiume wajitegemee jamani hizi aibu za rejareja hizi ukumbini[emoji848][emoji2212][emoji2212][emoji2212]...... Wanaume wenzangu hii haapna
Your browser is not able to display this video.
 
Unajidhalilisha sana kwenye huu uzi. Mambo mengine acha yapite tu.
 
Ndoa ni njia ya maisha ya Mungu na yenye baraka kwa mwanamume na mwanamke kuwa waaminifu kwa kila mmoja wao, kuzaa, kuzaa watoto, na kuwalea na kuwalea kwa utukufu wa Mungu. Ndoa ni muhimu ili wanaume na wanawake waweze kuishi maisha safi na yenye adabu ndani ya agano la ndoa.

Kukataa ndoa ni kukataa agano la kiimani hasa kwa waamini na waumini..akataaye ndoa kama hana shida za kimtazamo basi ana shida za kiroho ama la za kimaumbile lakini kwa kukosa ujasiri wa kuziweka wazi atakimbilia sababu zingine zisizo na mashiko kabisa na baadhi ni za kitoto mno
 
Kama ni mwanamme wa Dar anakataa ndoa nitamwelewa maana wengi wao ni mashoga tu au wanaume batili (walioishiwa nguvu za kiume). We umeona wapi mtu anamuomba mwanamme mwenzake amvunjie biskuti? Wanaume wa Dar bwana, basi tu.
 
Kama ni mwanamme wa Dar anakataa ndoa nitamwelewa maana wengi wao ni mashoga tu au wanaume batili (walioishiwa nguvu za kiume). We umeona wapi mtu anamuomba mwanamme mwenzake amvunjie biskuti? Wanaume wa Dar bwana, basi tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Married people are both responsible for and responsible to another human being, and both halves of that dynamic lead the married to live more responsible, fruitful, and satisfying lives. Marriage is a transformative act, changing the way two people look at each other, at the future, and at their roles in society.

Hooligans don't know about it[emoji23]
 
MIMI NA KATAA NDOA KWA SABABU HIZI:
1. Ndoa nyingi hazina sifa ya zile alizokusudia Mungu. Na ndio maana Kuna anguko la ndoa nyingi/talaka Kwa sbb Mungu hahusiki.kama alicho kiunganisha Mungu,binadamu hawezi kutenganisha Sasa mbona talaka zimekuwa nyingi? Mungu kashindwa kazi?. Mahakama za mwanzo kila siku zinatengua alicho unganisha Mungu.
2.kukosekana uaminifu, kama Binti anatembea na waume za wengine watatu wanne watano. Anawezaje Kuwa na imani na mume wake?.Ni vijana wangapi Wanafanya 'matusi' na wake za wenzao?. Sasa nawezaje kikilia kuoa wakati mke atakuja kutiwa na wengine?. Sasa sababu za kuoa ni zipi hapo, unaoa mwanamke na alikuwa na anakuwa ni Mali ya umma.
3.Harakati za kumuinua mwanamke.Wengi Wanafanya karakati hasi na mbaya dhidi ya mwanaume.Mwanaume anaonekana ni mbaya, katili, mnyama, muaji Shetani, mbwa. Kesi nyingi za mahusiano mwanamke anasililizwa zaidi, bila kusikiliza ya upande wa pili.Ni kana Kwamba mwanaume ukioa basi unakuwa Shetani na sifa zake Zote, mwanamke akiolewa basi yeye ni mtakatifu mama wa Mungu asiye na mawaa.
4.Mapokeo toka nje, Tumepokea agenda za usawa wa jinsia, sina pingamizi.Lakini tumepokea na agenda chafu zaidi. Agenda za 50 50 ndio hizo hizo zimekuja na ushoga. MASHOGA WENGI NI MATOKEO YA HAWA SINGLE MOTHER. KWAMBA KWA SBB MWANAMKE SASA ANA PESA BASI HAITAJI KUISHI NA MWANAUME. YEYE NI WA KUBEBA MIMBA NA KULEA MWENYEWE. WATOTO WANAJIFUNZA KWA KUONA, JE WANAJIFUNZA NINI KWA MAMA KILA SIKU?

ZAMA ZINA KUJA NDOA ZA JINSIA MOJA NDIO ZITAKUWA IMARA ZAIDI KULIKO NDOA HIZI HIZI.

#Kataandoa
 
Ukweli unajidhirisha kua upeo wako ni mdogo mno, skiza hakuna ukristo wala uislam unaopendelea mwanamke kwenye ndoa zaidi yakumpa mamlaka mwanaume ya kumtawala mwanamke...

Upumbavu wa sasa mtawala analalamika kuonewa na mtawaliwa, tena kwenda mbali zaidi mtawala anamuogopa mtawaliwa... laana hii jamani...

Skiza we kahaba wa kiume, kubadilisha wanawake si urijali bali ni udhaifu mkuubwa... uanaume ni kukabiliana na majukumu, uaanaume nikutawala, uaanaume ni kutiisha.

Na kuwagongagonga usidhani ni sifa mademu wana siri nyingi juu yetu kuna unazadhani unawakomoa kumbe wanakulinganisha na wanaume waliopita wanakuona boya flani ivi.... wake up USHOGA unakunyemelea
 
Tuwafunze watoto wa kiume wajitegemee jamani hizi aibu za rejareja hizi ukumbini[emoji848][emoji2212][emoji2212][emoji2212]...... Wanaume wenzangu hii haapnaView attachment 2516924
Mwanaume kuomba iphone 14 kwa mwanamke ni jambo la aibu sana.., hapa nakuunga mkono, ni aibu na aibu hasa.., unaombaje kitu alichotakiwa akuomba mwanamke?

Back kwenye mada, hakuna anaekataa kuoa na kujenga familia, hayo tunafanya vizuri sana, ila ndoa hapana, kataa ndoa.
 
Wanaume waoe, wazae watoto na kujenga familia zao, ila wasifunge ndoa. Ndoa ni kujiingiza kifungoni kwa sababu ya sheria kandamizi zinazotumika mahakamani kuwafilisi na kuwanyonya wanaume.
 
Kama ni mwanamme wa Dar anakataa ndoa nitamwelewa maana wengi wao ni mashoga tu au wanaume batili (walioishiwa nguvu za kiume). We umeona wapi mtu anamuomba mwanamme mwenzake amvunjie biskuti? Wanaume wa Dar bwana, basi tu.
Wanaume Hao wa Dar wanaoa, ila wanakataa ndoa!
 
Pointi za hovyo sana. Ndo baba anakwambia kipindi tunasoma tunatembea KWA mguu maili10. Sasa baba mbona hilo la kawaida mliweza kuadapt hivyo kwakuwa kulikuwa hakuna alternative nyingine yaani huwa sipendi hizi sababu za kijinga sana😂😂😂mtu mzima kakaa anaona anaandika cha maana ovyo tu
 
Married unamaanisha waliooa au waliofunga ndoa? Kuwa specific ili tujibu vizuri
 
Vijana wengi wanakazwa siku hizi,wanasimika hili jambo ili kuzika kabisa maswali dhidi yao kwanini hawaoi wala kuwa na partners.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…