Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Wanawake wenyewe ndio hawa?View attachment 2513369
Daah mwanamke ubongo mdogo kweli. Usikute hata tofali au balbu hajawahi nunua kwenye hiyo nyumba. Amemletea mzigo tu Dr wa watu. Alafu hawa wanawake nani aliwadanganya kwamba wakiolewa wanolewa na Yesu!!???
Hakunaga kitu kinaitwa parfect husband!!??
Tunavumiliana tu hivyo hivyo
Ukiolewa kubali Ku surrender baadhi ya haki ili kulinda ndoa.
Sometime naanza kuelewa watu wanaokataa ndoa
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa😲.
 
Ukweli unajidhirisha kua upeo wako ni mdogo mno[emoji1545][emoji818]
 
Umri unachangia
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa[emoji44].
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.[emoji1545][emoji818]
 
Mungu atutangulie tu.
Ukiona had vidume vina pigia debe Mambo ya kua single ambapo wanawake ndio ilikua kariba Yao,
jua kuna mlango wa mambo mengne ya ajabu unafunguka taratiiib.

Rudia kusoma utanielewa😲.
Mtu aliyeoa anakuwaje single sasa? Mtu kaoa na ana watoto, hiyo ni single? Watu hawakatai kuoa, wanakataa kufunga ndoa!
 
Mada zinazo wajibu vijana wanao kataa ndoa,ndo zinasambaza kwa kasi hyo mada..mada za kujibu zimekuwa nyingi mnoo kuliko content yenyewe ya kataa ndoa.
 
Mi ningekuroga ungeoa tu
Miaka minne hutaki ndoa dadeki[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…