Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Aisee kuna watu mna bahati Jamani Yaani ulinunua Harrier tako la nyani milioni 14, ukaiuza 24mil. Duh!!!, Hongera sana Mkuu.
 
Gari haijawahi kufunguliwa engine...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unajiuliza kama ikiwa inahitaji kubadilishwa head gasket itabadilishwa bila kufungua..
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu
 
Gari mpya ikirudiwa rangi thamani itashuka..!
Gari mpya ikifunguliwa injini thamani itashuka..!
 
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu
Mimi najiandaa kwenda kuipiga rangi gari kwa mara pili rangi yangu ni rahisi kuweka mikwaruzo yani ukipaki sehemu lazima ukute kuna watu wameshatia scratch...
 
Daah nilipata gari kwa muhindi mkononi, ni kweli changamoto ila yangu changamoto zake kwa vile sina hela,
Ni plate number A ila bado inadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…