Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Kwa ambao kwenye kuchagua hazipo pale kulingana na ulichosomea, inakuwajee asiee ili uchaguee
 
Kuna aliefanikisha kutuma maombi kupitia smartphone!!?
 
nimemaliza leo mida ya saa10 alfajiri tena account mbili na ya mtu mwingine
Umewezaje mkuu, tupe mbinu, maana mm kuappload cuver letter inasumbua, kila siku tena najarb katika nyakat tofaut tofauti, inafail kwa comments tofaut tofaut
 

Attachments

  • 17160881133851151544592023367488.jpg
    3.7 MB · Views: 10
Umewezaje mkuu, tupe mbinu, maana mm kuappload cuver letter inasumbua,

Dakika chache zilizopita nimekamilisha application ya mtu.
Fanya hivi:
1. Angalia file yako ina ukubwa gani?, Hakikisha ukumbwa wa attachment ni mdogo kadri iwezekanavyo, Ni vyema isizidi 200KB
-1.1 Iwapo file ni kubwa, Punguza ukubwa wa pdf kwa ku upload kwanza hapa:

- 1.2 Ukisha chagua file husika , chagua hii optio: Extreme Compression.


- 1.3 Then utapata pdf yenye ukubwa uziozidi 200kb

2. Rudi kwenye page ya application:
Code:
https://ajira2.tpf.go.tz/listjobs

- Chagua nafasi husika, na utaweza upload na kukamilisha maombi bila tatizo.

3. Hakiki na utaona huu ujumbe
 
Kwa form four
, nikibonyeza sehemu ya apply job,
Mfumo unanirudisha kwenye sehemu ya education
Msaada kwa aliye vuka atua hii
 
Mkuu eb naomba Tuwasiliane private kwa information zaid, nitumie text nikupigie
 
jitahidini jamani kesho na kesho kutwa kinaweza kuwa na jam kubwa
 
Vijana mnataka kulinda hela zetu bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…