Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

acheni kudanganya watu link ajira2.tpf.go.tz na ajira.tpf.go.tz zote ni za jeshi la polisi,mimi niliwafanyia watu kupitia ajira.tpf.go.tz na baadae nikaenda kumalizia ku upload barua kwenye ajira2.tpf.go.tz hivyo zote ni za jeshi la polisi
Ukitumia link ya ajira2.tpf.go.tz
Ukishafanikiwa kuappload barua i mean ukishafanikiwa kutuma maombi, usihame kwenye iyo link ya ajira2.tpf.go.tz, anza kuikagua anzia kwenye upande wa Education, view vyeti vyako, utakutana na vituko, yaan n vyate vya watu wengine kabisaaa
Kagua hata upande wa CV, yaan kuanzia jina na vitu vingine ulvyoviandika vinakua vipo sahihi ila shida n attachments ulizoziweka zinakua sio vyakwako vnakua n vt vya wat wengine, sasa kama iyo link n sahihi mbona inaonyesha attachment za wat wengine? Inamaana ulicho attach kwenye ajira.tpf.go.tz hakionekani kweny ajira.tpf.go.tz,

ACHENI KUDANGANYA WATU KWASABABU IYO ajira2.tpf.go.tz KWANN IPOTEZE TAARIFA NA IONYESHE
TAALIFA FEKI, ??

Kwasabab maombi yalyofanikiwa kwenye ajira2.tpf.go.tz hayaonekan kwenye ajira.tpf.go.tz

Na attachements zinazoonekana kwente ajira.tpf.go.tz hazionekan kweny ajira2.tpf.go.tz
Wakuu HI WAMEPIKA
anaesema ajira2.tpf.go.tz nisahihi aje na evidence kaitolea wapi

Kwanza kuingia penyewe inagoma mpaka uandike
Ikishafunguka inaonyesha job list then una login
 
Unahisi n kwanii
nashindwa kuelewa kwanini ila hapa ulipo sema Na attachements zinazoonekana kwente ajira.tpf.go.tz hazionekan kweny ajira2.tpf.go.tz sio sahihi, kwamaana attachment zilizopo ajira1 zinaonekama vyeama tu ajira 2 . tujiuize pamoja hili.
ikiwa ajira2 sio ya kweli kivip inaweza kuacess database ya ajira1 Why?
kwasabab nina watu ambao niliwaombea step 1 to ya mwisho kwa ajira1 leo nikiweka emails zao na passwords zao kwenye ajira2 mbona na login vizuri na naona taarifa zao zote imekuaje ajira2 wanapata acess ya database za taarifa za zamani ambazo hazijapitia kwenye link yao? nipe jibu hapa
 
Kama umefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz
Na unahakika kabisa umekamilisha maombi,
Usihame kwenye iyo link ya https://ajira2.tpf.go.tz
Ingia upande wa applyed job, itaonyesha kuna ujumbe wa detail, kagua utakuta tarifa n za kwako lakin hakuna picha uliyoiweka kwenye https://ajira.tpf.go.tz,
Ingia tena upande wa view attachments fungua cv utakuta sio ya kwako, ila barua utakuta n ya kwako maana uliituma kupitia link iyo ya https://ajira2.tpf.go.tz

ANAESEMA IYO LINK YA https://ajira2.tpf.go.tz ATUELEZE KAIONA WAPI MAANA KWENYE UKURASA WA POLISI HAIPO, HATA WALIVYOONGEZA SIKU 5 ZA KUTUMA MAOMBI KWA SABABU YA CHANGAMOTO ZA KIMTANDAO HAWAKUSEMA KUA WAMEONGEZA LINK NYINGINE, SASA IYO https://ajira2.tpf.go.tz IMETOKEA WAP?
 
nashindwa kuelewa kwanini ila hapa ulipo sema Na attachements zinazoonekana kwente ajira.tpf.go.tz hazionekan kweny ajira2.tpf.go.tz sio sahihi, kwamaana attachment zilizopo ajira1 zinaonekama vyeama tu ajira 2 . tujiuize pamoja hili.
ikiwa ajira2 sio ya kweli kivip inaweza kuacess database ya ajira1 Why?
kwasabab nina watu ambao niliwaombea step 1 to ya mwisho kwa ajira1 leo nikiweka emails zao na passwords zao kwenye ajira2 mbona na login vizuri na naona taarifa zao zote imekuaje ajira2 wanapata acess ya database za taarifa za zamani ambazo hazijapitia kwenye link yao? nipe jibu hapa
Niambia kwanza iyo https://ajira2.tpf.go.tz Uliitoa wapi?
 
Any way huwenda mm network yangu ilkua imeyumba, so chakufanya tusibishane maana kila mt ana access ya kulfatilia hili, kiundan zaid
 
Kwahyo wakat mm naangalia inaniletea taalifa ambazo sio sahihi network yangu ilikua imeshake au vp
upo sahihi ila naisi itakuwa ni ishu ya mtandao tu, na ikiwa unacho dai ni keli basi nataka tukubaliana swala moja ikiwa ajir2 wameweza hack login info zetu wote tuliomba kupitia ajira1 je kuna data ya nani itakuwa salama huko
 
upo sahihi ila nataka tukubaliana swala moja ikiwa ajir2 wameweza hack login info zetu wote tuliomba kupitia ajira1 je kuna data ya nani itakuwa salama huko
Unajua shida n moja mtandao nao n changamoto, kwahyo ww fatilia network ikiwa imetulia na mm nifatilie, tutapata majin tutataftana pm
 
mm nimekwamia Tu hapo kila nikijaribu kuandika namba ya NIDA inasoma inaniletea no record found
, Msaada tafadhali Jana nimekesha kwenye kipengele hicho paka bando likaisha
 

Attachments

  • Screenshot_2024-05-20-09-35-41-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-05-20-09-35-41-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    265.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom