Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

mm nimekwamia Tu hapo kila nikijaribu kuandika namba ya NIDA inasoma inaniletea no record found
, Msaada tafadhali Jana nimekesha kwenye kipengele hicho paka bando likaisha
Utakuwa umekosea namba
Mdogo wangu alikuwa anakosea namba inamletea no record found
Mka alipogundua akarekebisa
 
Kwenye GPA pale mbona wemeweka kuanzia wenye 3.0 imekaaje hii wakuu.
 
IMG_2543.jpg

Nipo apa naomba vipi kazi wakuu kila kitu nishajaza
 
Back
Top Bottom