Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Good luck mkuuNahisi hio ndo shida ..embu nifanye kupunguza aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good luck mkuuNahisi hio ndo shida ..embu nifanye kupunguza aise
Acha masihara😅Uki apply ajira 2 na kufanikiwa,ukija ku log in ajira.polisi taarifa zako hazitambuliki wanataka u sign up tena..hii imekaaje wakuu😂😂
Ndioooo nimeshaombaUmefanikiwa kuomba kwanza kabla ujajibiwa swali
Ndo ipo hivo bamdogo,sijui hiyo link ni ya kwao pia au ni scammers ajira2.Acha masihara😅
Reload mara nyingi kwa kadri utakavyoweza mpaka ikubali. Mimi nimefanya hivyo kila hatua mpaka imekubaliBora wew mm haipokei kweny add education ⏰
TUMIENI UBUNTU INAENDA VIZURI HIZI WINDOWS OS ZIMEGOMADuu bado inainazingua kutyma
Nikutumie derail zangu unisaidieTUMIENI UBUNTU INAENDA VIZURI HIZI WINDOWS OS ZIMEGOMA
Nawee unaomba kazi ya u polisi? Hufananiiii.Saa 9 usiku hii lakini wp???
Siku nikiwa afande ntawanyuka sana virungu watu wanaokataa kunipa mihogo.Nawee unaomba kazi ya u polisi? Hufananiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
NdioKupitia hii hii ajira2
Ahaa si kipengele hicho tenaTUMIENI UBUNTU INAENDA VIZURI HIZI WINDOWS OS ZIMEGOMA
Ehee tumekubaliana hivo na polisi wakileta mazingaombwe mwisho wa siku itabidi watuambie vzuri mana watu wameomba Sana ufafanuzi wa hiyo link mamlaka imekaa kimia manaake ni ya kwao wanaijuakwahiyo tumekubaliana link ya ajira2 ni link halali ya polisi
Ni Leo mkuu ndo uwendaa ikawa mwisho japo possibility ya kuongeza Tena muda hipo kwa asilimia 30Dirisha si limeshafungwa tangu usiku wa jana ama????
Nimepewa kazi hiyo na vijana wangu hapa kimbiji naona ntakula hela zao bure na kazi nisiimalize.
Mihogo ipo mingi tu... Sema nakuonea huruma hilo karavati litachanika bila mpangilio