Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Yaniletea fail to process application nifanye vipi msaada

Screenshot_20240522-101248 (1) (1).png
 
SASA HIVI NDIO VITU GANI?
 
Attachments

  • Screenshot_20240522-102040_Chrome.jpg
    Screenshot_20240522-102040_Chrome.jpg
    402 KB · Views: 10
Yes kila kitu kilekile,
Ila this time nlivyoapply nlivorudi tena nmeambiwa already applied
Maana kwangu mimi, niliapply kwa ajira2, lakin leo nimejaribu kwa email ile ile ya mwanzo kweny hii link ya ajira. tpf wameniambia email taken... means ile application ya mwanzo inatambulika na system yao..
 
jamani pitie account zenu mukague vyeti vyenu [emoji23]
usije ukaeedit wacha ivo ivo yalonikuta mungu anajua
😂😂 nini kimekukuta mkuu..
Halafu uki sign up ajira 2 ukija ajira taarifa zako haziwezi kutambulika hata uki sign up upya wanasema email taken
 
Maana kwangu mimi, niliapply kwa ajira2, lakin leo nimejaribu kwa email ile ile ya mwanzo kweny hii link ya ajira. tpf wameniambia email taken... means ile application ya mwanzo inatambulika na system yao..
Angaliab kwenye applied job ujiridhishe.
 
Habari wadu,
Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za polisi nimefanikiwa kuomba lakini nikiingia kwenye view attachment nakuta vyeti vya mtu mwingine kabisa tofauti ya vyeti ambavyo nimeattach mimi alafu nikilog out nikaingia tena nakuta tena vimechange tofauti na nilivyoviona mwanzo
 
Mimi nmeomba fresh nkilog in baadae unaambiwa “The credentials doesnot match our records”😂😂😂
 
Habari wadu,
Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za polisi nimefanikiwa kuomba lakini nikiingia kwenye view attachment nakuta vyeti vya mtu mwingine kabisa tofauti ya vyeti ambavyo nimeattach mimi alafu nikilog out nikaingia u
Habari wadu,
Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za polisi nimefanikiwa kuomba lakini nikiingia kwenye view attachment nakuta vyeti vya mtu mwingine kabisa tofauti ya vyeti ambavyo nimeattach mimi alafu nikilog out nikaingia tena nakuta tena vimechange tofauti na nilivyoviona mwanzo
Umetumia link ipi??huu ujinga ulinitokea pia
 
Back
Top Bottom