Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Msaada wakuu ....
Nimefanya Kila kitu ila nikakosea kwenye selection ya kozi ya dogo ( ufundi huu wengine hatuna ABC nao so nimekosea Nikaselect tofauti kidogo na kinachohitajika .....ikawa imeenda .....
Kuwapigia Ili nipate kufuta Ile selection ... wananiambia ndo umekosea tayari masharti ya ajira so umekosa tayari ....

Yaani nimeishiwa nguvu tu hapa ......🙌🙌
 
Pitia na hapa

Ndugu Voice of Tanzania
 
Nam mkuu imekupa ujumbe wa maombi yako kufanikiwa?
Yah
Na Kila nikiingia inasema already applied for a job ......

Na sioni option ya kufuta Ili niselect hiyo iliyo sahihi .....option haipo ...

Kuwapigia ,jibu walonipa dah nimechoka .......kumwambia dogo mwenyewe ameishiwa nguvu tu kama mimi.....

Jioni yangu Leo imeharibika ...nimevurugika t hapa..
 
Ahaa pole JE pale kwenye add education wewe ulichagua IV au certificate?
 
Walipokea kabisa?
Msaada wakuu ....
Nimefanya Kila kitu ila nikakosea kwenye selection ya kozi ya dogo ( ufundi huu wengine hatuna ABC nao so nimekosea Nikaselect tofauti kidogo na kinachohitajika .....ikawa imeenda .....
Kuwapigia Ili nipate kufuta Ile selection ... wananiambia ndo umekosea tayari masharti ya ajira so umekosa tayari ....

Yaani nimeishiwa nguvu tu hapa ......🙌🙌
 
Walipokea kabisa?
Nahisi tayari maana nikitaka kuselect Ile kozi naambiwa tayari umesha apply kozi nyingine.....

Na Ile nyingine haifutiki 🙌 ila unaweza edit cv, vyeti, profile nk

Ndo mara ya kwanza naona mfumo wa aina hii ambao kabla dirisha halijafungwa huwezi change application yako .....dah 🙌
 
Yah
Na Kila nikiingia inasema already applied for a job ......

Na sioni option ya kufuta Ili niselect hiyo iliyo sahihi .....option haipo ...

Kuwapigia ,jibu walonipa dah nimechoka .......kumwambia dogo mwenyewe ameishiwa nguvu tu kama mimi.....

Jioni yangu Leo imeharibika ...nimevurugika t hapa..
unaweza ku-reapply jaribu kutumia acc ingine uanze na upya kila kitu
 
Ahaa pole JE pale kwenye add education wewe ulichagua IV au certificate?
Nimeingiza taarifa za kidato Cha nne nikasave ....

Nika add za certificate yake ya ufundi fresh kabisaa nikasave .......

Na cv nikaweka

Passport
Kila kitu swaaaafi kabisa ila dakika za jioooooooooooooooni kabisa nikaharibu kazi dah
 
Back
Top Bottom