Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Nimeingiza taarifa za kidato Cha nne nikasave ....

Nika add za certificate yake ya ufundi fresh kabisaa nikasave .......

Na cv nikaweka

Passport
Kila kitu swaaaafi kabisa ila dakika za jioooooooooooooooni kabisa nikaharibu kazi dah

Pole naomba taarifa za hiyo akaunt nichek nione kama kutakuwa na namna
 
Screenshot_20240523-043115.png

Sijaona mahala pa ku attach barua. So far inaniandikia ivo kwamba YOU HAVE NOT APPLIED FOR ANY JOB YET.

Hapa najaribu ku apply kwa mtu wa KIDATO CHA NNE.

MSAADA WAKUU
 
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
Itakuwa hili jeshi liliajiri IT aliyemaliza form four maana ndio sifa yao kubwa haiwezekan mfumo unachukua wiki mbili haufanyi kazi na bado ukiingia setting za mle ndan hazieleweki vitu ukiweka hakuna ku edit maana yake nini sasa.
 
View attachment 2997123
Sijaona mahala pa ku attach barua. So far inaniandikia ivo kwamba YOU HAVE NOT APPLIED FOR ANY JOB YET.

Hapa najaribu ku apply kwa mtu wa KIDATO CHA NNE.

MSAADA WAKUU
Pole ndugu hapo unatumia simu ndio mana Sasa Cha kufanya Rudi nyuma yaan log out uanzie page ya kwanza kama hii uchague uombacho ona hiyo attached
 
Attachments

  • Screenshot_20240523-075616.jpg
    Screenshot_20240523-075616.jpg
    321.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom