Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Msaada wakuu, nikiupload passport size, nikiludi kuiangalia siikuti
Mkuu ndo hilivyo uwezi ikuta milele maana hapo wewe umebonya edit profile manake inakupa option ya ku update taarifa zako na si kutizama ndo mchezo utakuwa hivyo hivyo Kila unapogusa hiko kipengele achana nacho mkuu
 
Mkuu- ungewasaidia watu kuomba wakachangia bundle .

Maana askari wanaohitajika ni wengi Ila hadi muda huu idadi ya waliomba ni chache mno na ukizingatia hawa wanchukuliwa kwa ajiri ya uchaguzi ujao

So Kama haupo busy sana waombee wadau wachangie bundle na wrngine wameomba ajira 2 that is hell
 
Nilikua busy kidogo nimepokea ushauri wako ntatenga muda kuanzia kesho nitakuwa free nitawasapoti ndugu zangu
 
Mkuu- ungewasaidia watu kuomba wakachangia bundle .

Maana askari wanaohitajika ni wengi Ila hadi muda huu idadi ya waliomba ni chache mno na ukizingatia hawa wanchukuliwa kwa ajiri ya uchaguzi ujao

So Kama haupo busy sana waombee wadau wachangie bundle na wrngine wameomba ajira 2 that is hell
wanahitajika wengi lakini sio kwa ngazi za taaluma mkuu ikitoka pdf ya kwend ccp ukakuta graduate zaid ya 200 nikumbushe nifue kauli yangu hiii nchi ngumu hapa watajaza mapongo wa kidato kama 900 had 1200 iv Nakuunga mkono ndugu hata mimi najitolea atakayeniamini nitoe email au whatapp number atume vitu ila viwe kwenye folder lake nimsaidie asitume bundle mi natumia mkongo wa umma
 
hakika boss mwanzo nilitumia link ya ajira2 nilivokagua nikakuta vyeti sio vyang nikacreate upya account kweny link walotoa PT
kama uliomba kupitia ajira2 that is hell,omba kwa kutumia ajira ndio offical link
 
mkuu ivi mwisho ni lini kuomba, wengne tuna kozi tumesomea cartography (urasimu ramani) ila naona hata haitambuliki🙏, hii nch hii.
hakika boss mwanzo nilitumia link ya ajira2 nilivokagua nikakuta vyeti sio vyang nikacreate upya account kweny link walotoa PT
 
mkuu ivi mwisho ni lini kuomba, wengne tuna kozi tumesomea cartography (urasimu ramani) ila naona hata haitambuliki[emoji120], hii nch hii.
tareh 26
kaangalie unayoendan nayo uombe huwez kujua
 
Msaada wakuu, nikiupload passport size, nikiludi kuiangalia siikuti
Angalizo ukiona una attach kitu halafu ukirud hukioni jua kuwa ulicho attach kina size kubwa kuliko minimum size iliyowekwa kwa mfano attachment ya vyeti inatakiwa isizidi 700kb so ukiweka zaidi ya hy ukiaangalia tena huikuti
the same kwa cv kama ni level ya professional cv isizidi 2mb ila form iv na vi huwa ni kb ngapi sijui nimesahau
NB: Kama unatumia pc ndo vizuri ilikujua kuwa vitu vyako vipo mfano
*passport kama ipo nande juu pale kuna sehemu imeandikwa profile ukibonyeza utaona taarifa zako binafsi pamoja na passport kama hukuon basi haikukaa badilisha size ya passport
*same to education, other qualification and cv kama hujaziona kabadilishe size ya attachment zako
HUO NDO UELEWA WANGU
 
Back
Top Bottom