Angalizo ukiona una attach kitu halafu ukirud hukioni jua kuwa ulicho attach kina size kubwa kuliko minimum size iliyowekwa kwa mfano attachment ya vyeti inatakiwa isizidi 700kb so ukiweka zaidi ya hy ukiaangalia tena huikuti
the same kwa cv kama ni level ya professional cv isizidi 2mb ila form iv na vi huwa ni kb ngapi sijui nimesahau
NB: Kama unatumia pc ndo vizuri ilikujua kuwa vitu vyako vipo mfano
*passport kama ipo nande juu pale kuna sehemu imeandikwa profile ukibonyeza utaona taarifa zako binafsi pamoja na passport kama hukuon basi haikukaa badilisha size ya passport
*same to education, other qualification and cv kama hujaziona kabadilishe size ya attachment zako
HUO NDO UELEWA WANGU