Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

wameongeza tena siku 5 ila bado wanasisitiza maombi yote yatumwe kwa ajira.tpf.go.tz lakini ajabu ni kuwa hawajaikana/ kukanusha kuwa ajira2.go.tz hawaitambui
WhatsApp Image 2024-05-21 at 21.11.36_a2b1de62.jpg
 
Uki apply ajira 2 na kufanikiwa,ukija ku log in ajira.polisi taarifa zako hazitambuliki wanataka u sign up tena..hii imekaaje
Mfumo wa ajira.tpf.go.tz uko poa Sana saiz sema unaload kidogo
 
Mtandao uko poa sasa hivi,
Guys wote tuloapply kwa ajira2 ukija kwa ajira unaonekana hukuapply
Mm nmerudia tena in less than 2mn nmeapply tena
Kindly reconsider
 
Hello Samani mie nikienda kwenye apply job inasema failed to process the application,shida itakua nini msaada
 
Vijana ombeni upya now system imetulia ombeni upya manake wengi mlitumia ajira2 hike link ilikuwa ya matapeli vijana nasisitiza ombeni upya system inafunguka vzuri sasa
 
Mtandao uko poa sasa hivi,
Guys wote tuloapply kwa ajira2 ukija kwa ajira unaonekana hukuapply
Mm nmerudia tena in less than 2mn nmeapply tena
Kindly reconsider
Email ulitumia ile ile ya ajira2 ? maana mimi kwangu nimejaribu weka email ileile wameniambia email taken... means kwenye database tayari wanataarifa zangu za mwanzo
 
Email ulitumia ile ile ya ajira2 ? maana mimi kwangu nimejaribu weka email ileile wameniambia email taken... means kwenye database tayari wanataarifa zangu za mwanzo
Yes kila kitu kilekile,
Ila this time nlivyoapply nlivorudi tena nmeambiwa already applied
 
Back
Top Bottom