Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
na mimi ndo hapo hapo inaleta no record foundmm nimekwamia Tu hapo kila nikijaribu kuandika namba ya NIDA inasoma inaniletea no record found
, Msaada tafadhali Jana nimekesha kwenye kipengele hicho paka bando likaisha