Yuphat de king
Member
- May 15, 2024
- 27
- 1
Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
ajira.tpf.go.tz
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
Hakionekan kwenye