Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
😂😂😂 Inafikirisha tuwe makini na tatizo mamlaka inayohusika na hili Jambo ipo kama haipo hawapo wazi mwisho watu waibiwe na kutapeleliwa
 
kuna watu wapo humuhumu wanajitia wajuaji wanahisi kujua php version ya mwaka 1941 ndo watasumbua watu afu wameachia kichoko sana tulieni mtayasikia
 
Jeshi haliwezi kuttoa mfumo mpya bila kuchapisha rasmi kwenye kurasa zake
 
acheni kudanganya watu link ajira2.tpf.go.tz na ajira.tpf.go.tz zote ni za jeshi la polisi,mimi niliwafanyia watu kupitia ajira.tpf.go.tz na baadae nikaenda kumalizia ku upload barua kwenye ajira2.tpf.go.tz hivyo zote ni za jeshi la polisi
 
Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
je kama ulicho kifanya kwenye ajira2.tpf.go.tz hakionekani ajira.tpf.go.tz sasa uliwezaje kuingia,izo zote zinapeleka data kwenye database moja ya jeshi la polisi na zaidi ya asilimia 60 wameombea kupitia ajira2
 
Ukisha maliza kuappload baluabna ukapokea notification ya kuthimitishabkutuma maombi, nenda upande wa applyed job fungua neno CV jarb kU view cuver letter na kuview CV yako uone kama itakuja
 
mkuu ebu nisaidie sion sehemu ya kuweka barua nimemaliza othe qualification nikushuka chini yake nakutana na applied job au kwa vile natumia simu
 
Ukisha maliza kuappload baluabna ukapokea notification ya kuthimitishabkutuma maombi, nenda upande wa applyed job fungua neno CV jarb kU view cuver letter na kuview CV yako uone kama itakuja
Wakuu cover letter inauploadiwa wap?
 
Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
nimegundua kwamba kama utazia ajira.tpf.go.tz na kumalizia ajira2 , basi details zako zita appeal both side lakini ukianzia ajira2 na kumalizia huko, tambua ajira1 haitakutambua na hakuna details yeyote
 
Back
Top Bottom