Sio inakua tayari ushaweka naukirudi tena inapotea lazma uwe tena!?Angalizo ukiona una attach kitu halafu ukirud hukioni jua kuwa ulicho attach kina size kubwa kuliko minimum size iliyowekwa kwa mfano attachment ya vyeti inatakiwa isizidi 700kb so ukiweka zaidi ya hy ukiaangalia tena huikuti...
OyNazani ni system yenyewe ina shake, kwahiyo nikuacha tu tusubiri mkeka.. Maana hata ukibadilisha ika shake tena itakuwa vilevile
OyMimi niliomba kwa ajira2 lakini nimeingia kupitia ajira.tpf nimekuta application ipo received freshi shida tu ni vyeti ndo sio vyakwangu kitu ambacho ni shida ya mfumo
Kila nikiupload passport size nikirudi kuangalia sikuti kitu.Angalizo ukiona una attach kitu halafu ukirud hukioni jua kuwa ulicho attach kina size kubwa kuliko minimum size iliyowekwa kwa mfano attachment ya vyeti inatakiwa isizidi 700kb so ukiweka zaidi ya hy ukiaangalia tena huikuti
the same kwa cv kama ni level ya professional cv isizidi 2mb ila form iv na vi huwa ni kb ngapi sijui nimesahau
NB: Kama unatumia pc ndo vizuri ilikujua kuwa vitu vyako vipo mfano
*passport kama ipo nande juu pale kuna sehemu imeandikwa profile ukibonyeza utaona taarifa zako binafsi pamoja na passport kama hukuon basi haikukaa badilisha size ya passport
*same to education, other qualification and cv kama hujaziona kabadilishe size ya attachment zako
HUO NDO UELEWA WANGU
Waliokizi vigezo vyao kulingana na mahitaji yaoKwan usaili uwaga wanaitwa wote waliyoomba au?
Na uchukua mda gani mpaka wakaitwa kwenye usailiWaliokizi vigezo vyao kulingana na mahitaji yao