Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Secure Connection Failed

An error occurred during a connection to ajira.tpf.go.tz. PR_CONNECT_RESET_ERROR

Error code: PR_CONNECT_RESET_ERROR

The page you are trying to view cannot be shown because the authenticity of the received data could not be verified.
Please contact the website owners to inform them of this problem.
 
kipenseli2021 kaa na utulie mjomba, unakesha siku ambayo ushaambiwa kabisa leo wapo kwenye under maintainece , unapoteza nguvu nyingi siku ambayo sio sahihi, then the right time waweza jikuta unalala kama nguruwe 😀
soma hii taarifa vizuri
 
Jamani msaada. Nimejaza taarifa zote nimechagua job category nieattach barua nimeapply lakini system inanirudisha inaandika you have not applied for any job yet
 

Attachments

  • IMG_20240517_145623.jpg
    3.2 MB · Views: 9
  • IMG_20240517_145623.jpg
    3.2 MB · Views: 7

Hii cotegory mpya imeongezwa inaitwa MUNGU niomba kwa yeyote atakayenipa ufafaniuzi MUNGU kunakilefu chake labda kuachana na ishu za imani,... lasivyo siwezi kumwelewa IT hayupo syrious najiuliza kama kweli kunamategenezo ya mfumo ikiwa kuna utani kama huu unaendelea.
 
Jamani msaada. Nimejaza taarifa zote nimechagua job category nieattach barua nimeapply lakini system inanirudisha inaandika you have not applied for any job yet
hii kasi kangu pia ivo ivo nshajaribh sana ila wapi inasema Process Failed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…