Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

I
hivi mkuu sorry , niliweza kuopen account, iko ok, but nikifika kwenye hiyo sehemu ulo attach nikiweka kwenye kipengele cha 1v inaleta info tu, na nikihaweka zile detail za address, nida etc nikibonyeza nifinish hiyo sehemu niingie kuattach sasa zile documents inagoma (inaandika time out) tangu majuzi, shida ni gani mkuu? help me

kama utaapply kwa kutumia cheti cha form 4&6 CV haitajiki utatujazia server na kama unavyojua server yetu ni 500gb storege na bandwith 2-3, ila kwa wale certificate, diploma na degree ndio wanaattach cv
Lakin mbona inaanika REQUEST TIME OUT?
 
We umekamilisha kwani maana mi hii ni siku ya tatu nakesha lkn wapi yaan kipengele cha ku upload cover letter na kuchagua mkoa ndio inazingua
Mkuu mbna umeajiachia details zako Tena😁
 
ila cable si zilikatika huko baharini Wakuu, au mshasahau hizo taarifa?
Ivo yan
Screenshot_20240516-083606.jpg
 
Back
Top Bottom