Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Kweli Sasa hivi kumekucha

Zamani polisi na Jeshi ilikuwa ngumu kupata watu.Watu walikuwa wanabembelezwa kujiunga.Sasa hivi Hadi server Ina jam Kwa maombi mengi Kila Mtu anataka kuwa polisi
 
hivi mkuu sorry , niliweza kuopen account, iko ok, but nikifika kwenye hiyo sehemu ulo attach nikiweka kwenye kipengele cha 1v inaleta info tu, na nikihaweka zile detail za address, nida etc nikibonyeza nifinish hiyo sehemu niingie kuattach sasa zile documents inagoma (inaandika time out) tangu majuzi, shida ni gani mkuu? help me wakuu🙏
Shida ni system Yao TU ndugu hata sisi wengine tunaipata hiyo page Kwa shida inaload Sana ni kubahatisha tu ndugu Wala akuna ujanja hapo
 
Amka usiku
We umekamilisha kwani maana mi hii ni siku ya tatu nakesha lkn wapi yaan kipengele cha ku upload cover letter na kuchagua mkoa ndio inazingua
 

Attachments

  • Screenshot_20240514-045508.png
    Screenshot_20240514-045508.png
    113.5 KB · Views: 11
Back
Top Bottom