Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Ivi kwa wanaombea chet cha form six inatakiwa form four awe amemaliza mwaka gani
 
Jamani samahanini hivi namba za simu ukiweka pale kwenye address si inatosha au mpaka niziweke ndani kwenye barua ? Pia cover letter iliyoandikwa kwa kingereza si haina shida yoyote ?

Disclaimer

Mnisamehe I might sound lazier kufikiri ila majibu yenu yanahitajika
 
Wakuu,kwa wenye vyeti vyote viwili cha form 4 na 6 kipi ni better kutumika kwenye hizi ajira!!?
 
Back
Top Bottom