Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Mi nimejaribu hivyo unavyosema ila nikitoka nikirudi nazikuta
Naombeni msaada pia, niliapply mwaka jana niliaatach namba ya nida. Nilivyojaribu kuweka password nimeona namba yangu ya nida imekosewa digit moja, nikijaribu kuedit inagoma. Nifanyeje?
 
Labda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochote
Labda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochote
Tueleze vizuri maana me kila nikiondoa hata zote lakin bado nazikuta vilevile
 
Tueleze vizuri maana me kila nikiondoa hata zote lakin bado nazikuta vilevile
Ondoa zile ambazo huzitaki ubakishe tano unazozitaka na baada ya kuziondoa usihariri tena mpaka hapo kazi inakuwa imekwisha
 
mimi hata kujisajili tuu imekataa tangu jumatatu najaribu. ukipiga simu yao haipokelewi. msaada kwa waliofanikiwa tafadhali

IMG_20210513_224620.jpg
 
Za mda huu wakuu,

Jaman nimejaribu kufuta shule za mwanzo nilizoomba nikaweka shule mpya kwa bahati mbaya zimekuja zote na nikitaka kufuta zinagoma.

Option ya kufuta ipo na nikifuta notification inakuja kuwa nimefuta lakin nikirefresh bado shule zote zinakuja, jumla machaguo 9 ambayo ni zaid ya limit ambayo ni 5.
Mkuu hata mimi hii kitu imenitokea mi kuna machaguo mawili yalikuja automatic nikkfuta yanafutika but nikrefresh zinarudi, nmeamua kuacha hivihivo naona system haiko poa mahali.
 
Mkuu hata mimi hii kitu imenitokea mi kuna machaguo mawili yalikuja automatic nikkfuta yanafutika but nikrefresh zinarudi, nmeamua kuacha hivihivo naona system haiko poa mahali.
Hadi sasahivi najaribu kuzifuta lakin wapi, tuendelee kue kusubir huenda suluhisho likapatikana
 
Habari wadau
Mm kila nikijaza details zangu inapofikia sehem ya kuhakiki data inaniambia particular data nnazoweka ni tofauti na taarifa zilizopo necta
ukipata msaada unisaidie na mimi tafadhali maana shida yangu ni hiyo pia
 
Kwenye application za afya hakuna sehemu ya ku-attach CV, wakati CV inatakiwa
 
Back
Top Bottom