moodchapter
Member
- Jun 28, 2020
- 18
- 5
Mi nimejaribu kufuta toka juzi lakini kila nikiingia kuchek nazikuta nilizofutaTatizo kama langu, mimi nimebadili leo shule moja ajabu machagua nakuta yanakuwa sita baada ya kusave ni pamoja na lile nililolifuta
Mi nimejaribu hivyo unavyosema ila nikitoka nikirudi nazikutaZinafutika bhana, nenda pale kwenye option ya ONDOA utoe ambazo huzitaki ubakishe tano
Naombeni msaada pia, niliapply mwaka jana niliaatach namba ya nida. Nilivyojaribu kuweka password nimeona namba yangu ya nida imekosewa digit moja, nikijaribu kuedit inagoma. Nifanyeje?Mi nimejaribu hivyo unavyosema ila nikitoka nikirudi nazikuta
Labda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochoteMi nimejaribu hivyo unavyosema ila nikitoka nikirudi nazikuta
Labda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochote
Tueleze vizuri maana me kila nikiondoa hata zote lakin bado nazikuta vilevileLabda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochote
Siongezi mkuu ila naondoa tuLabda wewe baad ya kuziondoa una ongeza zingine ndio maana zinarudi kuwepo. Inatakiwa ukiondoa usiongeze chochote
Mbona mimi niliondoa zikafutika zikabaki tano au wewe baada ya kuzifuta unarudi kuhariri tena???Siongezi mkuu ila naondoa tu
Ondoa zile ambazo huzitaki ubakishe tano unazozitaka na baada ya kuziondoa usihariri tena mpaka hapo kazi inakuwa imekwishaTueleze vizuri maana me kila nikiondoa hata zote lakin bado nazikuta vilevile
Ulifanikiwa mkuu?Habari wadau
Mm kila nikijaza details zangu inapofikia sehem ya kuhakiki data inaniambia particular data nnazoweka ni tofauti na taarifa zilizopo necta
Mkuu hata mimi hii kitu imenitokea mi kuna machaguo mawili yalikuja automatic nikkfuta yanafutika but nikrefresh zinarudi, nmeamua kuacha hivihivo naona system haiko poa mahali.Za mda huu wakuu,
Jaman nimejaribu kufuta shule za mwanzo nilizoomba nikaweka shule mpya kwa bahati mbaya zimekuja zote na nikitaka kufuta zinagoma.
Option ya kufuta ipo na nikifuta notification inakuja kuwa nimefuta lakin nikirefresh bado shule zote zinakuja, jumla machaguo 9 ambayo ni zaid ya limit ambayo ni 5.
Hadi sasahivi najaribu kuzifuta lakin wapi, tuendelee kue kusubir huenda suluhisho likapatikanaMkuu hata mimi hii kitu imenitokea mi kuna machaguo mawili yalikuja automatic nikkfuta yanafutika but nikrefresh zinarudi, nmeamua kuacha hivihivo naona system haiko poa mahali.
ukipata msaada unisaidie na mimi tafadhali maana shida yangu ni hiyo piaHabari wadau
Mm kila nikijaza details zangu inapofikia sehem ya kuhakiki data inaniambia particular data nnazoweka ni tofauti na taarifa zilizopo necta
I'm here , necta candidate's particular does not match,, how can I fix itAny who face difficult please consult me
Msaada jamani bado nakwama hapo...Nimekutana na Changamoto hii tokea System imefunguliwa nikijaribu kuadd teaching subject drop-down menu haidisplay list ya masomo vaidi ya SELECT SUBJECT tu. ni masomo ya Arts.. Msaada jinsi ya kutatua changamoto hii account ni yatokea mwaka jana
View attachment 1782931
Ulitakiwa baada ya kuadd olevel detail kuhakiki tarifa kabla ya kuclick hifadhi button the best way remove all and re addmimi hata kujisajili tuu imekataa tangu jumatatu najaribu. ukipiga simu yao haipokelewi. msaada kwa waliofanikiwa tafadhali
View attachment 1783783
Hili tatizo lipo kwa wengiKila akiweka username na pasword anaambiwa unauthorised user/bad credentials...Msaada katika hili wakuu