mimiMsaada hapa wakuu .natokaje kwenye hii changamoto?
"Necta candidates particulars does not match "View attachment 1786784
mimi nakumbana na ujumbe kama huu mwanzoni kabisa. msaadaMsaada hapa wakuu .natokaje kwenye hii changamoto?
"Necta candidates particulars does not match "View attachment 1786784
Jaribu kufanya hivi.mimi
mimi nakumbana na ujumbe kama huu mwanzoni kabisa. msaada
Hata mimi nimejaribu kuwapigia sana lakini hawapokei sijui tutumie njia gani kupata msaada wao.niko hatua za mwanzo kbsa za kuomba napata error message contact system administrator...ukiwapigia hawapokei. kweli system za serikali zinatengenezwa na panya wa SUA kaandika jamaa mmoja
Naomba msaada tafadhali, kujiunga OTEAS online.Yaani kwa Sentensi hio unaona kabisa utapata msaada wa kujitosheleza?
Kweli we New Member.
Namna ya kujisajili OTEAS. Nimejaribu sana lakini inaniambia candidates na personalfication haija match.Naomba msaada tafadhali, kujiunga OTEAS online.
imekubali mkuu, shida nyingine siye tunayeomba nafasi ya ustawi wa jamii, kwenye kujaza chuo imegoma kwa sababu kwenye kuchagua kiwango cha elimu kwenye dropdown zote ni afya sijaona kada nyingine. mliofanikiwa mnafanyajeJaribu kufanya hivi.
Chukua cheti cha form 4 . Harafu unavoingia kwenye account yako jaza taarifa kulingana na zilivyokatika hicho cheti chako. Mfano , jina la kati huenda kwenye cheti chako halipo hivyo katika kujaza usiweke majina matatu weka kama yalivyo kwenye cheti cha form 4.
Edit taarifa binafsi kwanza! Yawezekana umeweka majina matatu wakati huo majina kwenye vyeti yapo mawili. Thank me laterNamna ya kujisajili OTEAS. Nimejaribu sana lakini inaniambia candidates na personalfication haija match.
Mkuu hapl kwangu natakiwa kufanya nn...maana ni juz tu niliingia na hyohyo but leo naambiwa unauthorized userEdit taarifa binafsi kwanza! Yawezekana umeweka majina matatu wakati huo majina kwenye vyeti yapo mawili. Thank me later
Unakosea kujaza taarifa zako kama uliingia kwa email jaribu namba ya form four ! Kwa mfumo wa Sxxxx-xxxx/yyyyy. Hakikisha pia password iko sawa, yaani kumbuka kama ulitumia herufi kubwa au la. Cheki keyboard yako pia kama iko sahihi haujabonyeza Caplocks.Mkuu hapl kwangu natakiwa kufanya nn...maana ni juz tu niliingia na hyohyo but leo naambiwa unauthorized user