Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Nashukuru mkuu...wacha nijaributena...ila nakumbuka user name niliishia kwa .mtindo huuS0000-0000 bas...sikuweka na mwaka...ngoja nijarbu hvyo
 
Bado majanga asee....sijajua hii system ina shida gani...ukipiga wala hawapokei
 
Nashukuru mkuu...wacha nijaributena...ila nakumbuka user name niliishia kwa .mtindo huuS0000-0000 bas...sikuweka na mwaka...ngoja nijarbu hvyo
Kutokuweka mwaka tayari ni changamoto
 
Endelea kujaribu mkuu, system ndivyo ilivyo.

Servers za Tamisemi zimezidiwa, nadhani ni kutokana na applications za walimu, ni wengi mno.

Jaribu mara kwa mara au ukiweza fanya usiku, mtandao huwa unatulia.
 
Wapendwa, naomba msaada. Najiunga OTEAS online, mwisho wa kuhakiki Ina niambia NECTA CANDIDATES PARTICULAR DOES NOT MATCH,, Naombeni munisaidie wapi nakosea ili nirekebishe.
Hello, weka details zako kama ilivyo kwenye cheti cha form 4, mfano kama ni Mani Mushi Mussa andika MAN M MUSSA itafaa. Good luck.
 
Aisee....jf imenisaidia sana...nilizama tena nikafata ushaur wa kiongoz hapo juu...fasta imetik na nshamaliza


Sent from my SM-J500FN using JamiiForums mobile app
 
Wadau mimi nakaribia kufeli kabisa.,, nini hiki leo siku ya nne haikubali msaada tafadhali.
 
Mkuu ulipata ufumbuzi hapa mimi nishakata tamaa siku nazo zinayoyoma
 
Msaada wakuu najisajili kwenye tovuti ya ajira tamisemi.... taarifa zipo sahihi ila nikibofya kitufe cha hakiki taarifa inapop uo message "NECTA CANDIDATE PARTICULARS DOES NOT MATCH"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…