Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

Kwahiyo Mungu mwenye enzi anatuhimiza tuwe walevi na mazezeta sio?
 
Jitathimini vizuri kabla ya kujibu hoja zangu nilizoandika katika hii thread,usituonyeshe kiasi gani una umbumbu katika akili yako.
 
Mtu kaishi mpaka miaka 70 unasingizia pombe nini sasa
 
Najibu reply hii ya pili kukusaidia.Kutoka katika kitabu cha nabii Isaya 5:11-12,Ole wao waamkao asubuhi na mapema,wapate kufuata kileo;wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao! Na kinubi, na zeze,na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao;lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
 
Kuna wanaoshauriwa kupata beer kidogo ili kuongeza damu, hapo imekaaje? Kuna daktari akipata kilevi kidogo upasuaji anafanya vizuri kabisa, vipi hapo? Wewe sema pombe ya kipimo haina madhara.
Ndugu daktari anashauri pombe kama kitendea kazi cha kumsaidia kufanya kazi? Lahasha ndugu huo ni upotoshaji mkubwa.Pombe yoyote ile unapotumia inaondoa utimamu na ubongo unashindwa kuratibu matendo ya mwili kwa usahihi,huo ndio ukweli.
 
Usimpangie mtu matumizi na starehe zake.
 
Duu
 
Siku zote nasemaga pombe sio Tatizo Tatizo lipo Kwa mtu mwenyewe.......

Unafanya over drinking una stress una kunywa mpk unakua chronic....

Kunywa jua level yako ya alcohol usizidishe kipimo tena kunywa baada ya kazi...

Pombe sio Tatizo Tatizo ni mtu mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…