Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

Choma Nishati ili upate Nishati Au Kupeleka hayo maji huko hakuhitaji Nishati ? Let alone kelele za kidiplomasia ambazo hazina ulazima... by the way kuna cheaper shortcuts na Mvua za Bongo hi Bwawa eventually litajaa tu....

Ila for long term ultimatum solution itakayo-guarantee sio umeme tu unapatikana bali umeme wa bei nafuu ni hapo chini:-

 
Binafsi mimi mtumiaji nataka Data moja tu hio Gas Tanesco wangenunua Bei gani kwa Unit ili sisi waje watuuzie Bei gani ?

Binafsi sitaki umeme tu kama mapambo yaani upo ila bei haikamatiki (watu tuna maoven yamegeuka kuwa makabati) alafu eti tunasema tuna umeme....
 
Zaidi ya nusu(50%) ya umeme unaotumika Tanzania kwa sasa unazalishwa kutoka katika gesi kwa wingi na mafuta kwa uchache.
Uliza swali lingine.
 
Zaidi ya nusu(50%) ya umeme unaotumika Tanzania kwa sasa unazalishwa kutoka katika gesi kwa wingi na mafuta kwa uchache.
Uliza swali lingine.
Umeelewa hata Swali la Kwanza ? Ngoja nirudie....

Hio Gesi Tanesco wananunua Bei Gani ? Issue hapa mwisho wa siku ni bei ya mwisho kwa mtumiaji; Kumbuka Hydro ni kwamba Tanesco sio Dalali; Kununua hapa ili auze hapa.., na kama mpaka sasa zaidi ya nusu ni Gasi na Mafuta ambayo Tanesco wakinunua na kutuuzia hata hawa-break even ndio imepelekea Units kwa mtumiaji kuwa bei ya Juu....
 
Bei ya umeme ni juu kulinganisha na wapi?

Sasa hivi unit ya umeme inauzwa shillingi ngapi na nyie mlitaka muuziwe shillingi ngapi au mnafikiri mtauziwa shillingi siku umeme wote ukitokana na maji?
 

Muwe munaficha ujinga, sio lazima ushushe thread ya kujiaibibisha na kuaibisha Taasisi za Elimu Nchini.

Bora hata ungejikita Chit chat.

Pole, lakini umeniudhi.

Nilpofika hopo pa Ethiopia wanatumia maji ya Ziwa Victoria kupitia mto Nile... Siku endelea tena kusoma hiyo post yako.

Yaani unaonyesha unauelewa mdogo sana. Labda rudi darasani tena kasome Geography vizuri uuelewe mto Nile.

How? Maji ya Ziwa Victoria yapelekwe Kidatu na Mtera! .Hivi somo la Geography lilifutwa?

Kwa nini msimjibu Kwa hoja
 
Shirikia gani la umma nchi hii linalo break-even na kutengeneza faida?
 
Bei ya umeme ni juu kulinganisha na wapi?
Duh Kaazi kweli kweli..., Unataka kulinganisha na wapi ili iweje ?, Unaweza kulinganisha bei ya Tende Jangwani na Antarctica kwa Eskimos ?

Unajua Umeme ni Huduma kama vile Maji au unadhani Nishati ikiwa bei ya Juu unamkomoa nani ? (Hii ndio to cut your nose to spite your face)

Bei ipo juu sana kama watu wanashindwa kutumia baadhi ya vifaa vyao sababu ya gharama kwa nchi ambayo ina vyanzo lukuki..., Tuna geographical advantage ya kuwa na nishati ya kumwaga kwanini tusitumie hio advantage ya umeme kuwa bei ya kutupa ili kuchochea sekta nyingine?
Sasa hivi unit ya umeme inauzwa shillingi ngapi na nyie mlitaka muuziwe shillingi
Bei ambayo watu wanaweza kutumia majiko yao ya umeme..., bei ambayo inakuwa cost efficient kuliko kutumia gesi au mkaa kwa watu kupika, bei ambayo viwandani itakuwa ya chini mtu kuwekeza Tanzania kuliko sehemu nyingine Africa.
ngapi au mnafikiri mtauziwa shillingi siku umeme wote ukitokana na maji?
Sasa kama leo Tanesco ananunua umeme kwa dalali huoni kwamba kutakuwa na nafuu kama dalali akiondoka ? Mbona hili lipo wazi ? Na nani kasema umeme wote utokane na maji ? , Tukipata hizo double capacity ya sasa kwa maji hao wengine madalali wa mafuta na gesi itabidi wauzie Tanesco kwa bei equivalent au chini ya maji (hawawezi wakafanye biashara nyingine au hio Gesi waifanye LNG wapeleke ambapo watapata top dollar
 
Shirikia gani la umma nchi hii linalo break-even na kutengeneza faida?
Angalia State owned Companies za China; Tanesco wanaweza wakafanyia Service watu wa ndani na kuuza surplus nje

Pia faida sio monetary pekee wewe unadhani Utility company ya Maji ikihakikisha wananchi wanapata maji safi na salama na hence kuwa na afya ya kufanya kazi na kutokutumia gharama za Kutibiwa hio ni faida au hasara ?
 
🤣
 
Uganda wanajenga chanzo kipya cha umeme mto nile (mto kagera) kwenye mpaka wa uganda na tanzania kwa upande wa mrongo sijui sisi tunakwama wapi aisee wakati ni rasilimali ambayo iko upande wetu pia
 
Wewe unapiga porojo tu, huna data zozote za kuthibitisha malalamiko au matamanio yako.
Kwa namna hii mtaonekana wapiga kelele na mtapuuzwa tu.
 
Ukitumia maji ya ziwa Victoria kuyapeleka huko unakotaka ujiandaye kuingia kwenye mgogoro mkubwa sana na nchi za Sudan,Ethiopia na Misri,kwani wenzetu wanategemea maji ya hili ziwa kwa kiwango kikubwa sana kwa shughuli za kiuchumi...
 
Mnateseka na kutapatapa sana kwa sababu mlilishwa matangopori kuhusu vyanzo vya umeme, hilo bwawa na gesi ya Tanzania.
 
Sasa kama kwa shirika la umma faida sio monetary peke yake kwa nini mishipa inakotoka ukitaka TANESCO nayo i break-even??
 
Yule Jamaa alikuwa ni muongo na mpenda mijisifa ya kijinga.
 
Wewe unapiga porojo tu, huna data zozote za kuthibitisha malalamiko au matamanio yako.
Kwa namna hii mtaonekana wapiga kelele na mtapuuzwa tu.
Data kuhusu nini ? Kwamba Tanesco sasa hivi hanunui Units ili atuuzie sisi ?, Kwamba kama ataacha kununua gharama haitapungua ?

By the way malalamiko yangu na matamanio yangu ni yapi ? Na unahitaji Data za aina gani ili kufahamu kwamba kitu ni affordable au sio affordable , Kwanini tunapenda complications wakati KISS it inatosha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…