Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Kibiolojia hivi unadhani shida ipo kwa mkeo mpaka utoke nje kwa ajili ya mtoto wa kiume, kwani wewe si ndo mwanamme na unatoa sperms mwanamke kazi yake ni kupokea??

Angalia genetics yako mkuu, imagine kwenu kunaongoza kwa kizazi cha kike than weye utegemee watoto wa kiume inawezekana lakini kizazi kinaenda kwa urithi, unaweza ukatoka nje na bado ukapata ilo ilo jike tena.
 
Kuna Jamaa anaweza kusaidia kwenye hilo.Yeye ana wakiume tu.So nafikiri ukimpea Mkeo akusaidie itakuwa vizuri na Rahisi.Na yeye anakupea Mkewe umtafutie kakike kamoja.Una Ujasiri huo nikuunganishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…