comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Siwez kujisifia kidume kwa kua na watoto wa kiume wengi, mimi sio mporipori kama weweNjoo inbox unitumie namba yako ili nikupe namba yake. Hongera we kidume bwana.

Acha maneno. Njoo inbox basi tajiri.Siwez kujisifia kidume kwa kua na watoto wa kiume wengi, mimi sio mporipori kama wewe
Unataka kweli kunipa namba za mke wako nimkaze?Acha maneno. Njoo inbox basi tajiri.
Ndio.Unataka kweli kunipa namba za mke wako nimkaze?
Mnakosea kujipa umuhimu msionao kwenye maisha ya wengine. Sijambo ushauri kwa mtu.
Acheni shobo.
Haya Mkuu. Nimecheka. Kuwa na usiku mwema Mkuu.Nani kaanzisha huu uzi?
Uzi upo in public domain afu hutaki maoni?
Kama hutaki maoni usingeanzisha huu uzi. Una matatizo ya akili na nguvu za kiume 🚮
Kama kuna uwezekano wa watoto wote kuwa wa mama mmoja ni vizuri zaidi.Naogopa kuongeza kwa huyu mama kwani tunaweza ambulia wa kike tena.
Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.
Hata obsession ya kutaka mtoto wa kiume nayo ni ujinga tu, ila ni ujinga ulio ndani ya haki zake za kikatiba na kibinadamu.Sema tu unataka dume, ila hizo sababu zako hazina tija. Nachelea kusema ni za kijinga.
😂🤣😂njoo unibomoe mbunye yangu nikuzalie mtoto wa kiume (dume).
Cc: secretarybird cocastic Monetary doctor Poor Brain
Nina watoto wa kike tu, ninaishi na mke, mama mkwe , wadogo wawili wa kike wa mke na housegirl, kwa kifupi nyumba nzima imejaa wanawake na kidume ni mimi tu, sijajua kama kuna changamoto yoyote. Sidhani kama ni lazima awepo, if I were to die today watakaobaki wataendelea.Je wewe mwenye watoto wa kike tu, una changamoto zipi?
Hayo ni matokeo ambayao hakuna mzazi huyategemea kamwe.Unaweza kupata mtoto wa kiume akawa tofauti na unavyotegemea, shoga, mwizi, tapeli, jambazi au akaangukia kwa familia ya mke wake.
WAtoto umleavyo ndivyo akuavyo mara nyingi watoto wa kike hawasahau kwao.
Kumbe wewe ni kiazi, basi endelea na upuuzi wako huo. jinga kabisa hili eti limeanzisha na uzi kabisa kwa udhaifu wake wa kutomkuna vizuri mke wake.. Kuzaa watoto wa kike ni udhaifu kenge wewe kama ulikua hulijui hilo.Acha nyege. Njoo nikutie mimba basi unizalie dume.
Pumbavu.
Naona umeandika kwa kubold kabisa. Nimecheka. 😂😂😂😂Kumbe wewe ni kiazi, basi endelea na upuuzi wako huo. jinga kabisa hili eti limeanzisha na uzi kabisa kwa udhaifu wake wa kutomkuna vizuri mke wake.. Kuzaa watoto wa kike ni udhaifu kenge wewe kama ulikua hulijui hilo.
Umeeleweka?.Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.
Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu.
Hawana changamoto yoyote na wanaendelea na masomo vizuri tu wakiwa na afya na ukuaji mzuri ila kama baba kuna muda napata mawazo kwa kukosa mtoto wa kiume. Naogopa kuongeza kwa huyu mama kwani tunaweza ambulia wa kike tena.
Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.
Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.
Pili, kushindwa kufanyika kwa baadhi ya kazi nyumbani kama utunzaji wa mifugo na mbwa ninazofuga, kukosa wa kunichinjia mbuzi au kuku.
Changamoto ya tatu, kukosa wa kuniuguza uzeeni ambaye atanisaidia pia kama mwanaume mwenzake.
Changamoto ya nne kukosa mlinzi na msimamizi wa nyumba kipindi nasafiri kwani huwa nasafiri sana kikazi na kibiashara.
Kimsingi, ni ngumu sana nyumba kukosa mtoro wa kiume. Sasa natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa nami na nitamfungulia na kumjengea alee mwanangu na akiwa na miaka 7, nachukua mwanangu.
Ni raha sana kuwa na jamaa anayecheza mpira hapa nyumbani na atakayeniletea kesi za kutia mimba huko nje.
Je wewe mwenye watoto wa kike tu, una changamoto zipi?
We ni ME au KE na nije inbox kufanya nini?Umeeleweka?.
Uko mkoa gani?.
Njoo inbox
Nenda hospitali, kliniki ya baba na mtoto utapewa ushauri mzuri wa namna ya kupata mtoto wa kiumeNa declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.
Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu.
Hawana changamoto yoyote na wanaendelea na masomo vizuri tu wakiwa na afya na ukuaji mzuri ila kama baba kuna muda napata mawazo kwa kukosa mtoto wa kiume. Naogopa kuongeza kwa huyu mama kwani tunaweza ambulia wa kike tena.
Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.
Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.
Pili, kushindwa kufanyika kwa baadhi ya kazi nyumbani kama utunzaji wa mifugo na mbwa ninazofuga, kukosa wa kunichinjia mbuzi au kuku.
Changamoto ya tatu, kukosa wa kuniuguza uzeeni ambaye atanisaidia pia kama mwanaume mwenzake.
Changamoto ya nne kukosa mlinzi na msimamizi wa nyumba kipindi nasafiri kwani huwa nasafiri sana kikazi na kibiashara.
Kimsingi, ni ngumu sana nyumba kukosa mtoro wa kiume. Sasa natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa nami na nitamfungulia na kumjengea alee mwanangu na akiwa na miaka 7, nachukua mwanangu.
Ni raha sana kuwa na jamaa anayecheza mpira hapa nyumbani na atakayeniletea kesi za kutia mimba huko nje.
Je wewe mwenye watoto wa kike tu, una changamoto zipi?
Uzi unasemaje Kwan?We ni ME au KE na nije inbox kufanya nini?
Kama una uwezo nenda kapandikize kwa huyo mkeo upate wa kiume hata mapacha. Badala ya kuleta mgogoro kwenye famillia. Kuzaa nje hasa kwa ndoa za kikristo na kama una uchumi wa kuunga unga inakuwa changamoto sana Hasa kwenye mgawanyo wa mali. Kama una uchumi mzuri basi kila mwanamke mfanye amiliki uchumi na watoto wake bila kuingiliana utakuwa na amani sana. Ushauri wanguNa declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.